Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Lugha hii imetokea wakati wa kupanga tarehe ya kuanzia kusikiliza kesi.Wakati Mh.Lissu anasema yeye yuko tayari hata Leo au kesho na kwamba Mashahidi wengine wapo hapahapa.
JAJI NDUNGURU:Wakili wa serikali unasemaje?
Adv.Katuga:Aliomba muda kidogo kujiandaa
JAJI NDUNGURU:Sema muda gani unaokutosha
Adv.Katuga:Aliogopa kutaja muda maana watu watahisi ni uoga wa kesi,lakini alikuwa anajua kinachoendelea
.Akarudisha mpira Kwa Jaji NDUNGURU
JAJI NDUNGURU:06/10/2025 aliitaja haraka haraka bila kufikiria.
Between the line ,ukiangalia lugha ya picha ni dhahiri kulikuwa na Mawasiliano baina hawa watu wawili.