Jaji Ndunguru na wakili Katuga wameongea lugha waliokuwa wanawasiliana hadharani bila kujua

Mwana parokia

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2023
Posts
1,193
Reaction score
2,066
Lugha hii imetokea wakati wa kupanga tarehe ya kuanzia kusikiliza kesi.Wakati Mh.Lissu anasema yeye yuko tayari hata Leo au kesho na kwamba Mashahidi wengine wapo hapahapa.

JAJI NDUNGURU:Wakili wa serikali unasemaje?

Adv.Katuga:Aliomba muda kidogo kujiandaa

JAJI NDUNGURU:Sema muda gani unaokutosha

Adv.Katuga:Aliogopa kutaja muda maana watu watahisi ni uoga wa kesi,lakini alikuwa anajua kinachoendelea

.Akarudisha mpira Kwa Jaji NDUNGURU

JAJI NDUNGURU:06/10/2025 aliitaja haraka haraka bila kufikiria.

Between the line ,ukiangalia lugha ya picha ni dhahiri kulikuwa na Mawasiliano baina hawa watu wawili.
 
Kwa lugha rahisi ni kwamba huyo Katuga ndio alikuwa hakimu kisutu, ndio Ndunguru kwa sasa wakati huo huo ni wakili wa serikali.

Kwenye movies kuna mtu anaitwa sterling, kwenye hii movie sterling ni Katuga
 
Ndunguru siyo jaji, ni wale maafisa vipenyo waliopelekwa mahakamni kwenda kuzuia haki.

Ndunguru huwa anapewa kesi zile tu dhidi ya Serikali, ili ahakikishe matakwa ya mashetani yanafanikiwa. Hakuna kesi hata moja anapewa huyo mtu halafu haki ikapatikana. Kwa hii kesi ya dhidi ya Lisu, huyu kipenyo Ndunguru tayari ana maelekezo ambayo ni kurefusha sana kesi, na kuhakikisha anadhulumu haki ya Lisu na watanzania wote ili kuwalinda mashetani wa wanamtandao.
 
Hili nimeliona kabisa like wazi
 
Na ndio maana wakampangia majaji watatu ili wamkabiri kama mpira wa kona, lakini wapo bado anawatoa knockout…
Wamuachilie tu aende naye kupigania ugali wake… kula ni wao tu, wengine wakaokote jalalani… waione basi aibu…
 
Kangaroo court. Hilo jopo la majaji kazi maalum. They’re there to drag the trial until after Samia The Killer sworn in for the second term!
 
Ukiwa haujui mwenendo wa mashauri Mahakamani uwe unakaa walau kimya kiongozi.

Ipo hivi, Mahakama ndio huwa inapanga muda lakini kama kuna mawakili Mahakama huwa inazingatia ratiba za mawakili hao na ndio sababu ya Mahakama kumuuliza wakili tarehe na muda na wakili huwa anaangalia diary yake na kutaja tarehe na muda. Kama yupo free kwa wakati wote (hasa wa serikali NPS maana wao ni jinai jinai na wao) basi anaweza kurudisha kwa Mahakama ili Mahakama ipange yenyewe tarehe na muda.

Mimi ni wakili na ndio nakuambia hili, wakati mwengine uliza kwa wenye taaluma yao kiongozi utajifunza jambo.
 
kama we ni wakili kuna haja gani kuja id fake?
 
Acha waruke sarakasi mimi nina imani hawana muda mrefu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…