Jaji Othman Chande na wenzako, historia itawahukumu kikatili sana kama mtatumika

Jaji Othman Chande na wenzako, historia itawahukumu kikatili sana kama mtatumika

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
333
Reaction score
857
Najua jaji Othman Chande yuko compromised toka siku anachaguliwa, bila shaka pia ni mtu wa mfumo hakuna lolote jipya tunaweza tegemea.

Japo hii tume haina uhalali wowote lakini inaweza kurejesha imani kwa kusimamia haki kama ile tume ya katiba mpya ya warioba ilivyotushangaza.

Kama Chande atakubali kutumika ni dhahiri itakuwa ni kazi bure kwani kama yaliweza kutokea Oktoba 29 yanaweza kutokea tena wakati mwingine.

Kama hii tume itafunika magugu badala ya kuyang'oa yatachipua tu.

ICC anzeni kupasha sasa tume ya samuya imesha maliza kazi.
 
Back
Top Bottom