cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Poleni wafiwa
R.I.P Jaji
R.I.P Jaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shanti shantiii, duuh.Ok Mimi nimesoma India ngoja nimlilie mtani wangu kihindi Om Shanti Shanti Shanti
R.I.P Justice RugaziaKuna mwenye taarifa zake? Kuna maneno yanasambazwa kwamba hatunaye. Naomba kujuzwa.
=====
Tunapokwenda Kanisani naomba tuiombee Roho ya ndugu yetu na rafiki wetu mpendwa Judge Projestus Rugazia. Ameaga dunia. Mwenyezi Mungu aitakase Roho yake ampe uzima wa milele. Ni majonzi makubwa sana.
Kwa wachina hakuna kazi, kuna vibarua! Siwezi kutoka Marian nikaenda kufanya vibarua kwa wachina!Ndio Ni lugha ya kimataifa .Kupata ajira kwa wawekezaji wa kihindi popote duniani rahisi Kupata kazi Kama unajua lugha yao.India watu wanasoma kuanzia nursery hadi Phd kihindi .Wawekezaji wa kihindi na kichina wamesambaa dunia nzima Kupata ajira kwao rahisi Sana Kama unajua lugha zao wao na wawekezaji wafaransa,wahispania ,wareno na warusi.Wewe Kama kiingereza unaona deal endelea kukiongea na vitoto vyako peleka only English medium tu viongee Hadi kwenye daladala Lakini usije piga yowe kuwa ajira hazipo pamoja na vitoto vyako kutiririka kiingereza kuliko malkia