Jaji rwakibalira

Jaji rwakibalira

Kimbojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2009
Posts
387
Reaction score
54
Heshima wakuu,
Hapa najiuliza ufanisi wa jaji Gabriel Rwakibarila aliye hukumu kesi ya Lema uko wapi katka mhakama anayofanyia kazi? nani atakaye amini maamuzi yake? huyu ni wa mahakam kuu, sikatai kesi huwa zinakatiwa rufaa na kushinda katika mahakama za juu, je hii hoja ndogo iliyomshinda Rwakibarila kuamua (wapiga kura kupinga ushindi na athari walizopzipata baada ya mgombea wao kishidwa). ilihitaji kwenda kuamuliwa na mahakama ya rufaa? Kwangu mimi naona huyu bwana hana hadhi ya kuwa jaji. Hata kama alishinikizwa, profession aliiweka rehani.
 
Kichekesho ni kuwa jaji Rwakobarira alikubali madai ya walalamikaji hao wawatu waliopinga ushindi wa Mh Lema iiikuwa wana CD zinazomwonyesha Lema akitoa kauli za kashfa na udhalilishaji, na walidai kuwa watazileta mahaklamani kama ushahidi.
Walishindwa kuifanya hivyo, lakini hiyo haikumzuia jaji Rwakibarira kukubali maelezo ya mdomo kuwa Lema alitoa kashfa. Yapo mengi, ila kwa kifupi Mahakama ya Rufani imeondoa AIBU iliyoletwa na Mahakama kuu chini ya Rwakibarira.
 
Back
Top Bottom