Kimbojo
JF-Expert Member
- Apr 12, 2009
- 387
- 54
Heshima wakuu,
Hapa najiuliza ufanisi wa jaji Gabriel Rwakibarila aliye hukumu kesi ya Lema uko wapi katka mhakama anayofanyia kazi? nani atakaye amini maamuzi yake? huyu ni wa mahakam kuu, sikatai kesi huwa zinakatiwa rufaa na kushinda katika mahakama za juu, je hii hoja ndogo iliyomshinda Rwakibarila kuamua (wapiga kura kupinga ushindi na athari walizopzipata baada ya mgombea wao kishidwa). ilihitaji kwenda kuamuliwa na mahakama ya rufaa? Kwangu mimi naona huyu bwana hana hadhi ya kuwa jaji. Hata kama alishinikizwa, profession aliiweka rehani.