TANZIA Jaji Samuel Victor Gibson Karua afariki dunia

RIP JAJI WILLIAM JOHN MAINA​

JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. WILLIAM MAINA AMEFARIKI DUNIA

22-02-2021 0

JAJI WILLIAM JOHN MAINA

Published By:LYDIA CHURI

Source: JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. WILLIAM MAINA AMEFARIKI DUNIA
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. William John Maina amefariki dunia jana Februari 21, 2021 saa 1:30 usiku katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwake Oystebay jijini Dar es salaam.
Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
.... duh! Mahakama imepigika haswa na Covid-19.
 
.... duh! Mahakama imepigika haswa na Covid-19.

Hatari sana watu kama mstaafu Jaji William John Maina katika judiciary ya Tanzania ni watu wazito sana ambao hata baada ya kustaafu ilikuwa kimbilio la kwenda kuvuna hekima na uzoefu wake wa miaka mingi kama jaji mmojawapo imara sana. RIP Jaji William John Maina.

RIP RETIRED JUDGE WILLIAM JOHN MAINA
 
Kisukari,presha uzito mkubwa.
Kutoboa ni ngumu.
... Idara ya Mahakama miongoni mwa maeneo yaliyoahirka sana na Covid-19 na sekta ya elimu ya juu; maprofesa wamepigwa sana na Corona. RIP.
 
Ina lilahi waina ilayhi rajiuun
 
R.I.P. Jaji Karua.
 
Kama sijakosea ana binti aitwaye Lilian...
Namjua bint yke mmoja anaitwa "m"
Alizaa na mwanamke ambaye mm nlikuwa namjua...
Jaji alikuwa na mdg wake anaitwa michael tulikuwa tunapigaga wote mitungi sema naye alitanguliaa
Alikuwa anakaa kama unaelekea shule ya salma kikwete knyama

Ova
 
Zamu yake na yeye akaomewe hukumu kwa muumba wake.
R.i.p jaji
 
Namjua bint yke mmoja anaitwa "m"
Alizaa na mwanamke ambaye mm nlikuwa namjua...
Jaji alikuwa na mdg wake anaitwa michael tulikuwa tunapigaga wote mitungi sema naye alitanguliaa
Alikuwa anakaa kama unaelekea shule ya salma kikwete knyama

Ova
Upo sahihi
 
Ni ushauri tu wasee wa 70+ waondoke mjini fasta..watapukutika wote. Hii changamoto si rafiki kwa kweli.

Poleni wafiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…