TANZIA Jaji Samuel Victor Gibson Karua afariki dunia

TANZIA Jaji Samuel Victor Gibson Karua afariki dunia

Namjua bint yke mmoja anaitwa "m"
Alizaa na mwanamke ambaye mm nlikuwa namjua...
Jaji alikuwa na mdg wake anaitwa michael tulikuwa tunapigaga wote mitungi sema naye alitanguliaa
Alikuwa anakaa kama unaelekea shule ya salma kikwete knyama

Ova
Binti yake alizaa na mwanamke,? Haupo serious
 
Namjua bint yke mmoja anaitwa "m"
Alizaa na mwanamke ambaye mm nlikuwa namjua...
Jaji alikuwa na mdg wake anaitwa michael tulikuwa tunapigaga wote mitungi sema naye alitanguliaa
Alikuwa anakaa kama unaelekea shule ya salma kikwete knyama

Ova
Huyo M unamaanisha Mavunika Karua?
 
Jiwe ndie wakulaumiwa kwa hivi vifo. Its time for him to work for the bread which he gets for free at the expense of us (taxpayers) so that he knows the importance of dignity.
 
Familia ya Jaji Samuel Victor Gibson Karua Kwa masikitiko makubwa inawatangazia ndugu, jamaa na marafiki, Kifo cha mpendwa wao Jaji Samuel Victor Gibson Karua kilichotokea leo tarehe 26/02/2021 saa moja na nusu asubuhi (1:30) asubuhi, katika hospitali ya Saifee.

Msiba utakuwepo nyumbani kwa marehemu Jaji Samuel Victor Gibson Karua Kijitonyama. Ndugu wapendwa kutokana na janga linaloendelea hivi sasa ,familia inawapenda sana ila tunaomba kwa sasa familia pekee ndio ijumuike hapa nyumbani Kijitonyama na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki tujumuike pamoja siku ya jumatatu kwa ajili ya kumuaga na mazishi yatakayofanyika siku hiyo nyumbani kwake Goba Michigani pia tunasisitiza uvaaji wa barakoa na kunawa mikono na kukaa mbali mbali.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

Familia ya Jaji Samuel Victor Gibson Karua.

======

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Samwel Karua amefariki dunia leo Februari 26 katika hospitali ya Seifi iliyopo Oystebay jijini Dar es salaam.

Msiba upo nyumbani kwake Kijitonyama na mipango ya mazishi itajulikana hapo baadaye.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Hakika vifo vinatisha sasa, wamefanya vizuri sana kutoa tahadhari.
 

OBITUARY: HON.JUDGE (RTD) WILLIAM JOHN MAINA​

JAJI_MAINA21-02-22-1024x705.jpg

It is with deep regret that we inform you of untimely death of Honorable Judge (Rtd) William John Maina, Roll Number 715 who passed away on Sunday 21st February ,2021 at Lugalo Hospital in Dar es salaam due to sickness .

The last respects and mass of the late Hon.Judge (Rtd) William John Maina will be held tomorrow Wednesday 24th February, 2021 from 1200hrs noon at St. Peter’s parish church Oysterbay in Dar-es-Salaam. Thereafter burial ceremony will be conducted at the Kinondoni Cemetery in Dar es salaam.

Advocates who wish to attend the last respects, mass and burial services in honor of our dearly departed friend and colleague should dress in bibs and robes.
source : Death Announcement and Updates
 
Back
Top Bottom