figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ok.🐒Mashahidi ambao Lissu aliwataja, watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika
JAJI ANASOMA UAMUZI KUHUSU MASHAIDI WA TUNDU LISSU MJANE SAMIA NA WENZAKE.
Sasa mtakumbuka kwamba tarehe 21 ya mwezi wa 8, 2026, baada ya Mahakama hii kutoa uamuzi mdogo na kumweleza haki zake za kisheria kuhusu yeye kujitetea...
Mshtakiwa: Akionyesha nia ya kujitetea, ikiwemo yeye na mashahidi 11.
Na katika orodha yake, wa kwanza:
1. Samia Hassan Suluhu
2. Philip Isidory Mpango
3. Kassim Majaliwa Majaliwa
4. Camilius Wambura - IGP
5. Jacob Nkunda - CDF
6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
7. DCI Kingai
8. John Mnyika
9. Amani Sam Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Baada ya Upande wa Mashitaka kutoa hoja hizo, Mshtakiwa alijibu hoja hizo.
Na kwamba hao ni mashahidi muhimu katika mashitaka haya kwa ajili ya fair trial.
Mahakama hii ilishapokea orodha ya hawa mashahidi.
Akaeleza kwamba wakati wa Committal Proceedings, isipokuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi ilikataa kuchukua orodha ya mashahidi wake.
Kwa kuwa hapo Mahakama ilisharidhia mashahidi wake, Mahakama hii haiwezi kurudi nyuma na kuanza kujadili Kifungu cha 281 na 314 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Ni mashahidi ambao wana ulazima.
Kimsingi, kila mmoja ni shahidi isipokuwa kama sheria inazuia.
Akaeleza Mahakama kwamba hakuna sheria inayomtoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mkuu wa Polisi kutokuja Mahakamani.
Sheria ya masuala ya Rais inasema kwamba Rais hatolazimishwa.
Sheria hiyo imeeleza namna ambavyo Mahakama inaweza kumfikishia wito Rais.
Sheria inasema Rais ataamua yeye kuja au kutokuja.
Lakini haizuii Mahakama kutoa wito.
Rais na hao viongozi watatu, ushahidi wao ni ushahidi muhimu.
Shitaka lililopo Mahakamani ni kutishia Serikali.
Na kwamba suala la kutishia Serikali linamgusa Rais.
Na kwamba hao wengine, ushahidi wao ni muhimu sana.
Mashahidi hao watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika.
Sheria haimzuii Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuja kutoa ushahidi Mahakamani.
Akaeleza kwamba hata katika shauri la Khatibu Ghandi imeeleza kwamba ushahidi wa shahidi hautoki, usitolewe katika Mahakama ya wazi.
Na kwamba wengine wameshatoa ushahidi kwa niaba ya watu wengine. Hakuna sheria inayoruhusu mtu kutoa ushahidi kwa niaba ya mtu mwingine.
Upande wa Mashitaka walitaka Mahakama izingatie Kifungu cha 281 na 314.
Mahakama, baada ya kupitia hoja za pande zote mbili, ikaangalia hoja ya msingi kama pingamizi lina mashiko au la.
Sheria inasema kwamba Mshtakiwa ataleta orodha ya mashahidi ambao waliorodheshwa katika Committal Proceedings.
Katika Mahakama ya Kisutu haikuorodhesha mashahidi wake, kweli.
Na kwamba ni kweli Hakimu Mkazi Kisutu hakuorodhesha mashahidi wake.
Mahakama yenye mamlaka inalazimika kuorodhesha mashahidi.
Kuorodheshwa au kutoorodheshwa siyo lazima kwa sababu sheria ipo hivyo; ni wakati gani wanatakiwa kuorodheshwa.
Tunajubaliana na Mashitaka kwamba kuorodheshwa siyo jambo la msingi.
Hoja ya msingi ni kwamba Mahakama inaweza kuita mashahidi wakati wowote wakati wa shauri kusikilizwa.
Pale ambapo Mahakama imepewa discretion, Mahakama inatakiwa kuitumia kwa upande wa haki.
Sasa Mahakama inaangalia hapa mashahidi:
1. Samia Suluhu Hassan
2. Isdory Mpango
3. Kassim Majaliwa
Hoja ya msingi, Mahakama inaangalia kama mashahidi hao ni relevant.
MY TAKE
Sitaki kusikia Stori za Samahani Jaji, sitaweza kuja kwa sababu nimefiwa na mume wangu.
Kufa ni kufa tu. Kwani nani hajawahi kufiwa?
Mkuu malizia ruling ilisemaje.....Mashahidi ambao Lissu aliwataja, watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika

Ahahahahaha! Hii ngoma sasa imefikia patami sana! Baada ya John Mnyika, Amani Golugwa, Brenda Rupia na John Heche kushindwa kumsaidia Mwenyekiti wao kwenye ushahidi walioutoa hadi Amani Golugwa akadai "majibu mengine ajibu mshtakiwa mwenyewe"! Ahahahahaha!!Mashahidi ambao Lissu aliwataja, watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika
JAJI ANASOMA UAMUZI KUHUSU MASHAIDI WA TUNDU LISSU MJANE SAMIA NA WENZAKE.
Sasa mtakumbuka kwamba tarehe 21 ya mwezi wa 8, 2026, baada ya Mahakama hii kutoa uamuzi mdogo na kumweleza haki zake za kisheria kuhusu yeye kujitetea...
Mshtakiwa: Akionyesha nia ya kujitetea, ikiwemo yeye na mashahidi 11.
Na katika orodha yake, wa kwanza:
1. Samia Hassan Suluhu
2. Philip Isidory Mpango
3. Kassim Majaliwa Majaliwa
4. Camilius Wambura - IGP
5. Jacob Nkunda - CDF
6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
7. DCI Kingai
8. John Mnyika
9. Amani Sam Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Baada ya Upande wa Mashitaka kutoa hoja hizo, Mshtakiwa alijibu hoja hizo.
Na kwamba hao ni mashahidi muhimu katika mashitaka haya kwa ajili ya fair trial.
Mahakama hii ilishapokea orodha ya hawa mashahidi.
Akaeleza kwamba wakati wa Committal Proceedings, isipokuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi ilikataa kuchukua orodha ya mashahidi wake.
Kwa kuwa hapo Mahakama ilisharidhia mashahidi wake, Mahakama hii haiwezi kurudi nyuma na kuanza kujadili Kifungu cha 281 na 314 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Ni mashahidi ambao wana ulazima.
Kimsingi, kila mmoja ni shahidi isipokuwa kama sheria inazuia.
Akaeleza Mahakama kwamba hakuna sheria inayomtoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mkuu wa Polisi kutokuja Mahakamani.
Sheria ya masuala ya Rais inasema kwamba Rais hatolazimishwa.
Sheria hiyo imeeleza namna ambavyo Mahakama inaweza kumfikishia wito Rais.
Sheria inasema Rais ataamua yeye kuja au kutokuja.
Lakini haizuii Mahakama kutoa wito.
Rais na hao viongozi watatu, ushahidi wao ni ushahidi muhimu.
Shitaka lililopo Mahakamani ni kutishia Serikali.
Na kwamba suala la kutishia Serikali linamgusa Rais.
Na kwamba hao wengine, ushahidi wao ni muhimu sana.
Mashahidi hao watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika.
Sheria haimzuii Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuja kutoa ushahidi Mahakamani.
Akaeleza kwamba hata katika shauri la Khatibu Ghandi imeeleza kwamba ushahidi wa shahidi hautoki, usitolewe katika Mahakama ya wazi.
Na kwamba wengine wameshatoa ushahidi kwa niaba ya watu wengine. Hakuna sheria inayoruhusu mtu kutoa ushahidi kwa niaba ya mtu mwingine.
Upande wa Mashitaka walitaka Mahakama izingatie Kifungu cha 281 na 314.
Mahakama, baada ya kupitia hoja za pande zote mbili, ikaangalia hoja ya msingi kama pingamizi lina mashiko au la.
Sheria inasema kwamba Mshtakiwa ataleta orodha ya mashahidi ambao waliorodheshwa katika Committal Proceedings.
Katika Mahakama ya Kisutu haikuorodhesha mashahidi wake, kweli.
Na kwamba ni kweli Hakimu Mkazi Kisutu hakuorodhesha mashahidi wake.
Mahakama yenye mamlaka inalazimika kuorodhesha mashahidi.
Kuorodheshwa au kutoorodheshwa siyo lazima kwa sababu sheria ipo hivyo; ni wakati gani wanatakiwa kuorodheshwa.
Tunajubaliana na Mashitaka kwamba kuorodheshwa siyo jambo la msingi.
Hoja ya msingi ni kwamba Mahakama inaweza kuita mashahidi wakati wowote wakati wa shauri kusikilizwa.
Pale ambapo Mahakama imepewa discretion, Mahakama inatakiwa kuitumia kwa upande wa haki.
Sasa Mahakama inaangalia hapa mashahidi:
1. Samia Suluhu Hassan
2. Isdory Mpango
3. Kassim Majaliwa
Hoja ya msingi, Mahakama inaangalia kama mashahidi hao ni relevant.
MY TAKE
Sitaki kusikia Stori za Samahani Jaji, sitaweza kuja kwa sababu nimefiwa na mume wangu.
Kufa ni kufa tu. Kwani nani hajawahi kufiwa?
Hivi Rais ni mtu au taasisi? Rais ndiyo mkuu wa serikali mfano na serikali inaye mwanasheria mkuu ambaye ndiye mtu sahihi.. Sasa je Rais akimpa kazi hiyo AG itakuaje?Mashahidi ambao Lissu aliwataja, watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika

Sheria hairuhusu uwakilishi kwenye ushahidiHivi Rais ni mtu au taasisi? Rais ndiyo mkuu wa serikali mfano na serikali inaye mwanasheria mkuu ambaye ndiye mtu sahihi.. Sasa je Rais akimpa kazi hiyo AG itakuaje?
Je.Rais anatumiwa wito au anaombwa kufika mahakamani? Kuna kitu nakiona kwa mbali..mnataka Urais ionekane ni kitu cha hovyo huku mkifikiri labda mnamkomoa aliepo pale kumbe mnajenga msingi mbaya kwa vizazi vijavyo. Mh.Rais linda hadhi ya taifa.. sheria inakulinda atuwezi kuchezea ofisi ya Rais kama andaziSheria hairuhusu uwakilishi kwenye ushahidi
Wewe kibwengo hapa ulikuwa hujazaliwa?Je.Rais anatumiwa wito au anaombwa kufika mahakamani? Kuna kitu nakiona kwa mbali..mnataka Urais ionekane ni kitu cha hovyo huku mkifikiri labda mnamkomoa aliepo pale kumbe mnajenga msingi mbaya kwa vizazi vijavyo. Mh.Rais linda hadhi ya taifa.. sheria inakulinda atuwezi kuchezea ofisi ya Rais kama andazi
Aliyetajwa kwenye orodha ya mashahidi ni Samia Suluhu HassanHivi Rais ni mtu au taasisi? Rais ndiyo mkuu wa serikali mfano na serikali inaye mwanasheria mkuu ambaye ndiye mtu sahihi.. Sasa je Rais akimpa kazi hiyo AG itakuaje?
Hivi Kingai ndio yule kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe aligongwa maswali na Kibatara mpaka akajikojolea kizimbani?Atakuj
Kingai
Mkuu wa jeshi
Mkuu wa polic
Mwendesha mashitak