Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Adress yake ni hipi na yeye ni nani?Aliyetajwa kwenye orodha ya mashahidi ni Samia Suluhu Hassan
Adress yake ni hipi na yeye ni nani?Aliyetajwa kwenye orodha ya mashahidi ni Samia Suluhu Hassan
Unaona uelewa ulivyo mdogo sana. Kwa taarifa yako hapo hayati Mkapa alikua ni Rais mstaafu sijui mnadanyana nini.Wewe kibwengo hapa ulikuwa hujazaliwa?
Kumbe tareh 06/Mei/2012 nchi ilikua chini ya hayati Ben Mkapa? Daah ,kweli Mama Samia anayo kazi kwakweliWewe kibwengo hapa ulikuwa hujazaliwa?
Umeandika nini?Rais aitwi mahakamani bali anaweza kuombwa kuja mahakamani kutoa ushahidi..sijui kama unaijua ata presidentia affairs act