Akil zako zmejaa mav na makamasAhahahahaha! Hii ngoma sasa imefikia patami sana! Baada ya John Mnyika, Amani Golugwa, Brenda Rupia na John Heche kushindwa kumsaidia Mwenyekiti wao kwenye ushahidi walioutoa hadi Amani Golugwa akadai "majibu mengine ajibu mshtakiwa mwenyewe"! Ahahahahaha!!
Sasa imani ya nyumbus wa Chadema imebaki kwa viongozi Wakuu wa Serikali eti wake wamwokoe Lissu!!
Ahahahahaha! Hii ngoma inogile!!
Huyo Rais sio Mungu..wakina Trump huko marekani wanapelekwa mahakamani,wakina Netenyahu wana kesi mpaka leo mahakamani. Sembuse huyo mjane wenu?Je.Rais anatumiwa wito au anaombwa kufika mahakamani? Kuna kitu nakiona kwa mbali..mnataka Urais ionekane ni kitu cha hovyo huku mkifikiri labda mnamkomoa aliepo pale kumbe mnajenga msingi mbaya kwa vizazi vijavyo. Mh.Rais linda hadhi ya taifa.. sheria inakulinda atuwezi kuchezea ofisi ya Rais kama andazi
Mbona umeandika Utopolo?Je.Rais anatumiwa wito au anaombwa kufika mahakamani? Kuna kitu nakiona kwa mbali..mnataka Urais ionekane ni kitu cha hovyo huku mkifikiri labda mnamkomoa aliepo pale kumbe mnajenga msingi mbaya kwa vizazi vijavyo. Mh.Rais linda hadhi ya taifa.. sheria inakulinda atuwezi kuchezea ofisi ya Rais kama andazi
Huwa unawachapa eee?Mjane, atapata shida sana,kuhangaika na Lissu!
Ila asikuambie mtu bwana,wajane ni watamu sijawahi kuona!
Ambayo hairuhusiwi kuandikiwa ukasomeHata akija ataongea nini lbd wamuandikie kwenye makaratasi awe anasoma 😂 😂
Mmhh..haji mtu hapo
Je.Rais anatumiwa wito au anaombwa kufika mahakamani? Kuna kitu nakiona kwa mbali..mnataka Urais ionekane ni kitu cha hovyo huku mkifikiri labda mnamkomoa aliepo pale kumbe mnajenga msingi mbaya kwa vizazi vijavyo. Mh.Rais linda hadhi ya taifa.. sheria inakulinda atuwezi kuchezea ofisi ya Rais kama andazi
Kukataa wito wa mahakama si kosa?Mmhh..haji mtu hapo
Ngoma inogileMashahidi ambao Lissu aliwataja, watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika
JAJI ANASOMA UAMUZI KUHUSU MASHAIDI WA TUNDU LISSU MJANE SAMIA NA WENZAKE.
Sasa mtakumbuka kwamba tarehe 21 ya mwezi wa 8, 2026, baada ya Mahakama hii kutoa uamuzi mdogo na kumweleza haki zake za kisheria kuhusu yeye kujitetea...
Mshtakiwa: Akionyesha nia ya kujitetea, ikiwemo yeye na mashahidi 11.
Na katika orodha yake, wa kwanza:
1. Samia Hassan Suluhu
2. Philip Isidory Mpango
3. Kassim Majaliwa Majaliwa
4. Camilius Wambura - IGP
5. Jacob Nkunda - CDF
6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
7. DCI Kingai
8. John Mnyika
9. Amani Sam Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Baada ya Upande wa Mashitaka kutoa hoja hizo, Mshtakiwa alijibu hoja hizo.
Na kwamba hao ni mashahidi muhimu katika mashitaka haya kwa ajili ya fair trial.
Mahakama hii ilishapokea orodha ya hawa mashahidi.
Akaeleza kwamba wakati wa Committal Proceedings, isipokuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi ilikataa kuchukua orodha ya mashahidi wake.
Kwa kuwa hapo Mahakama ilisharidhia mashahidi wake, Mahakama hii haiwezi kurudi nyuma na kuanza kujadili Kifungu cha 281 na 314 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Ni mashahidi ambao wana ulazima.
Kimsingi, kila mmoja ni shahidi isipokuwa kama sheria inazuia.
Akaeleza Mahakama kwamba hakuna sheria inayomtoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mkuu wa Polisi kutokuja Mahakamani.
Sheria ya masuala ya Rais inasema kwamba Rais hatolazimishwa.
Sheria hiyo imeeleza namna ambavyo Mahakama inaweza kumfikishia wito Rais.
Sheria inasema Rais ataamua yeye kuja au kutokuja.
Lakini haizuii Mahakama kutoa wito.
Rais na hao viongozi watatu, ushahidi wao ni ushahidi muhimu.
Shitaka lililopo Mahakamani ni kutishia Serikali.
Na kwamba suala la kutishia Serikali linamgusa Rais.
Na kwamba hao wengine, ushahidi wao ni muhimu sana.
Mashahidi hao watakuja kuisaidia Mahakama endapo kosa hilo limefanyika.
Sheria haimzuii Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kuja kutoa ushahidi Mahakamani.
Akaeleza kwamba hata katika shauri la Khatibu Ghandi imeeleza kwamba ushahidi wa shahidi hautoki, usitolewe katika Mahakama ya wazi.
Na kwamba wengine wameshatoa ushahidi kwa niaba ya watu wengine. Hakuna sheria inayoruhusu mtu kutoa ushahidi kwa niaba ya mtu mwingine.
Upande wa Mashitaka walitaka Mahakama izingatie Kifungu cha 281 na 314.
Mahakama, baada ya kupitia hoja za pande zote mbili, ikaangalia hoja ya msingi kama pingamizi lina mashiko au la.
Sheria inasema kwamba Mshtakiwa ataleta orodha ya mashahidi ambao waliorodheshwa katika Committal Proceedings.
Katika Mahakama ya Kisutu haikuorodhesha mashahidi wake, kweli.
Na kwamba ni kweli Hakimu Mkazi Kisutu hakuorodhesha mashahidi wake.
Mahakama yenye mamlaka inalazimika kuorodhesha mashahidi.
Kuorodheshwa au kutoorodheshwa siyo lazima kwa sababu sheria ipo hivyo; ni wakati gani wanatakiwa kuorodheshwa.
Tunakubaliana na Mashitaka kwamba kuorodheshwa siyo jambo la msingi.
Hoja ya msingi ni kwamba Mahakama inaweza kuita mashahidi wakati wowote wakati wa shauri kusikilizwa.
Pale ambapo Mahakama imepewa discretion, Mahakama inatakiwa kuitumia kwa upande wa haki.
Sasa Mahakama inaangalia hapa mashahidi:
1. Samia Suluhu Hassan
2. Isdory Mpango
3. Kassim Majaliwa
Hoja ya msingi, Mahakama inaangalia kama mashahidi hao ni relevant.
MY TAKE
Sitaki kusikia Stori za Samahani Jaji, sitaweza kuja kwa sababu nimefiwa na mume wangu.
Kufa ni kufa tu. Kwani nani hajawahi kufiwa?
KujikojoleaHivi Kingai ndio yule kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe aligongwa maswali na Kibatara mpaka akajikojolea kizimbani?
Naokuona unavuka mipaka jiangalie tutakufungulia mashtakaMjane, atapata shida sana,kuhangaika na Lissu!
Ila asikuambie mtu bwana,wajane ni watamu sijawahi kuona!
Inategemeana sheria inasemaje kwa hao wengine lakini si umeona hapo wamesema rais ana uamuzi wa kukubali au kukutaa kulingana na sheria zinazohusu u raisKukataa wito wa mahakama si kosa?
Ahahahah.. unawajua wale walivyo vichwa vigumu?? Itakua kama hakijatokea kitu na hawatafikaKm hawatafika basi hakuta kua na haja ya hii case, imalizwe Lissu atoke zake nje. Mashahidi si hawapo sasa.
Zako zina bugger na chips kuku! Ahahahahaha!!Akil zako zmejaa mav na makamas
Mamlaka mnayachukulia kama mzaa ndugu,ata kwenye uwenyekiti wa chama iwe CCM au CHADEMA mwenyekiti ni hivyo hivyo wala hamna cha ajabu.Anacho kiamua Lissu au kukipenda ndiyo hicho. Kuna makamanda walipingana na kauli zake za kususia uchaguzi,kuamasisha uaini na kuvuruga uchaguzi jamaa akasema hao waondoke. UMENIELEWA BILA SHAKANdio maana yanatokea haya, kisa u mungu mtu kwenye huo Urais.
Rais aitwi mahakamani bali anaweza kuombwa kuja mahakamani kutoa ushahidi..sijui kama unaijua ata presidentia affairs actMbona umeandika Utopolo?
Hebu tafuta usaidizi kama Raisi wa Tanzania anaweza kuitwa mahakamani kama shahidi au la.
Hapo ndipo mnakosea.. sheria ya USA na Isreal ni sawa sawa naya Tanzania? Na hizi akili ndizo mnajidanganya nazo vijiweni.. Mtakuja kusema ata kua mbona USA wao wanaruhusu ushoga alafu bongo kwanini tunapinga mpaka tone la damu.Huyo Rais sio Mungu..wakina Trump huko marekani wanapelekwa mahakamani,wakina Netenyahu wana kesi mpaka leo mahakamani. Sembuse huyo mjane wenu?