Unaona uelewa ulivyo mdogo sana. Kwa taarifa yako hapo hayati Mkapa alikua ni Rais mstaafu sijui mnadanyana nini.
Pili ata angekataa ombi hamna kitu amabocho kingefanyika. Sasa mimi na wewe na kibwengo? PUNGUZENI MIHEMKO. Kesi hiyo ililindima wakati wa Kikwete sijui mnaenda shuleni kusomea ujinga?