Jaji wa mahakama kuu Arusha awajibishwe

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
187
Uandaliwe utaratibu maalumu wa kumwajibisha Judge aliyetoa hukumu katika kesi ya Mbunge Godbless Lema mahakama kuu ya Arusha.Wajibisho hilo laweza kuwa la kitaaluma,kisheria,kinidhamu au kimaadili kwasababu yote yalikiukwa katika kutoa hukumu hiyo.

Nawasilisha wanajamvi
 
Kama JAJI ana historia ya KUPIGWA CHINI KWA KESI ZAKE KILA ZIKIENDA KWENYE RUFAA TENA KWA FORESEEABLE GROUND KAMA HII YA LOCUS STAND...kuna haja gani ya MAMLAKA YA UTEUZI KUENDELEA KUMUACHIE AWE JAJI? JE NI WANGAPI WAMEENDA JELA KWA UAMUZI WAKE MBOVU NA KWA ELIMU YAKE YA KUGOOGLE??
Je ni akili nzuri kwa mzazi kuendelea kumuachia mwanao aendelee na shule ya kawaida wakati mpaka darasa la saba hajui kuandika jina lake???kwann usimpe jembe akalime??
 
2mia akili ww unakuwa km hujui taratibu za mahakama kuwajibishana ni kwa wanasiasa
 


napata wasiwasi na elimu yako mkuu
 
Siyo vyema ndoyo maana kwa sheria kutambua kuna uzembe unawezakufanyika ikaamua kuunda chombo kikuu ambacho ni mahakama ya rufaa endapo maamuzi ya awali yalikuwa ni ya kipuuz bas unaweza kukata rufaa
 

By walcot
napata wasiwasi na elimu yako mkuu
By yohanakomaga
judicial immunity.
Haiwezekani, analindwa na hako hapo juu(yohanakomaga ameongea)
katoe maoni kwenye katiba mpya wabadilishe mfumo au uhamie kenya.
 
Kwanza hii mada haikupaswa kukaa jukwaa hili.
Pili si virahisi hivyo kumtoa jaji, ni rahisi kumteua lakini huna Mamlaka ya kumtoa.
 
pamoja na yote na kutokujua sheria huyu jaji ni hoi anaumwa na alikuwa akitibiwa India ila kwa sasa yupo nyumbani kwake anafanya mazoezi ya kurudisha mwili wake vizuri so hajui hata kinachoendelea,

Tumwache maana hayo hayakuwa maamuzi yake bali ya Ikulu
 
Chezea rushwa nyinyi....

CCM walimkatia vijisenti huyo Pilato ili atoe hukumu ya kipuuzi..wakidhani CDM watalainika, na kusema...poa liwalo na liwe...turudie uchaguzi.... Na huo ndio ulikuwa ni mtazamo wa viongozi kadhaa wa CDM hata Lema mwenyewe baada ya hukumu ile... Maana yule jaji kwa upuuzi usio mithilika alisema eti hata Lema anaweza kugombea tena, akipenda!!

Lilipogarambuka, mambo yakaenda kwenye mahakama ya Rufaa...na yote yanabaki kuwa historia kwa sasa...
 
Jaji kihiyo Na asiyekuwa na ethics lazima awajibike.

Ameshatumika Na CCM Kama toilet paper sasa ni wa kutupwa chooni
 
Hakuna taasisi duniani , isiyokuwa na utaratibu wa kuwajibishana kwa wanaokosea, kiuka maadili, kuvunja sheria, kanuni etc.what ever the name you may call it. Nilazima kuwepo na disciplinery action, otherwise ujaji unaweza kufanywa na mtu yeyote na kutolewa maamuzi ya hovyohovyo tu. KITU AMBACHO SIWEZI KUKIAMINI
 
mimi kweli elimu yangu ni ndogo ila nimeamua kufikiria kama mwanakijiji wa kawaida kabia mkuu walcot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…