Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania anaweza kutoa Hukumu kwamba Spika wa Bunge amekosea? Nchi Jirani Hukumu ya Spika kukosea imetoka 🐼

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio

Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority

Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai

Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine

Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo

Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa

Credit: Citizen TV

Mlale Unono 🐼
 
hao majaji wanaweza kua wamepata chang'aa kidogo wakati wanachunguza ni alliance gani ina wabunge wengi kuliko nyingine,

kwamba eti Azimio ina wabunge wengi dhidi ya Kenya Kwanza?

vichekesho vya mwaka hivi 🐒
 
Naam , hao wanajua nini iwe nini na iwe kivipi
.
 
hao majaji wanaweza kua wamepata chang'aa kidogo wakati wanachunguza ni alliance gani ina wabunge wengi kuliko nyingine,

kwamba eti Azimio ina wabunge wengi dhidi ya Kenya Kwanza?

vichekesho vya mwaka hivi 🐒
Shuleni ulisoma Hesabu walau na sheria kidogo hata ile Law of Contact tu? 😂
 
Spika wa tanzania ana Kinga ya kisheria kutoshitakiwa kwa kosa lolote alilolifanya bindi akiwa anatekeleza majukum ya kiti chake au umesahau kwamba walishajiwekea Kinga kitambo?
 
Unachokiona kinafanyika kenya saiz ni mapambano yaliyofanywa na watu kupata KATIBA MPYA. Hakuna sheria wala kanuni kuwa juu ya KATIBA....kenya ni wazungu weusi.
Naunga mkono hoja
 
Shuleni ulisoma Hesabu walau na sheria kidogo hata ile Law of Contact tu? 😂
alie gonga chang'aa pekee ndie anaweza kujipiga kifua kisheria ati Azimio la Umoja One Kenya alliance ina wingi wa wajumbe dhidi ya Kenya Kwanza alliance, kwenye mabunge yote mawili Kenya,

zaidi ya ya hapo ni ulevi tu 🐒
 
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio

Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority

Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai

Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine

Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo

Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa

Credit: Citizen TV

Mlale Unono 🐼
Sisi

Sisi huku makamu mwenyekiti Mzee Wasira kasema katiba haituletei chakula, wananchi wana njaa hawataki katiba mpya wanataka chakula na barabara
 
alie gonga chang'aa pekee ndie anaweza kujipiga kifua kisheria ati Azimio la Umoja One Kenya alliance ina wingi wa wajumbe dhidi ya Kenya Kwanza alliance, kwenye mabunge yote mawili Kenya,

zaidi ya ya hapo ni ulevi tu 🐒
Waliosoma Hesabu za kujumlisha na kutoa na ile Law of Contract hawajapata hii taabu unayopata wewe 😀😀
 
Spika hayuko juu ya Sheria.
Spika anaongozwa na Sheria
Mahakama inatafsiri Sheria.
So, Yes, Mahakama/Judge anaweza kutamka Spika kavunja Sheria.
 
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio

Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority

Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai

Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine

Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo

Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa

Credit: Citizen TV

Mlale Unono 🐼
Ushasema nchi nyengine, basi itabaki nchi nyengine na sio Tanzania. Kila nchi na taratibu zake.
 
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio

Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority

Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai

Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine

Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo

Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa

Credit: Citizen TV

Mlale Unono 🐼
HATUNA MAJAJI, TUNA SHYSTER JUDGES

We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC

Feb 13, 2017 07:59 PM IST

The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament..​

“If the speaker says blue is green, then we will ask the speaker to say it’s blue. We can’t let it go as green,” a bench headed by Chief Justice JS Khehar told attorney general Mukul Rohatgi, who had told the court that a speaker’s decision cannot be challenged in court.
 
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio

Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority

Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai

Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine

Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo

Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa

Credit: Citizen TV

Mlale Unono 🐼
Hili Tanzania haliwezekani!
P
 
Back
Top Bottom