johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼