johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hao majaji wanaweza kua wamepata chang'aa kidogo wakati wanachunguza ni alliance gani ina wabunge wengi kuliko nyingine,Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Naam , hao wanajua nini iwe nini na iwe kivipiNimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Shuleni ulisoma Hesabu walau na sheria kidogo hata ile Law of Contact tu? 😂hao majaji wanaweza kua wamepata chang'aa kidogo wakati wanachunguza ni alliance gani ina wabunge wengi kuliko nyingine,
kwamba eti Azimio ina wabunge wengi dhidi ya Kenya Kwanza?
vichekesho vya mwaka hivi 🐒
Naunga mkono hojaUnachokiona kinafanyika kenya saiz ni mapambano yaliyofanywa na watu kupata KATIBA MPYA. Hakuna sheria wala kanuni kuwa juu ya KATIBA....kenya ni wazungu weusi.
alie gonga chang'aa pekee ndie anaweza kujipiga kifua kisheria ati Azimio la Umoja One Kenya alliance ina wingi wa wajumbe dhidi ya Kenya Kwanza alliance, kwenye mabunge yote mawili Kenya,Shuleni ulisoma Hesabu walau na sheria kidogo hata ile Law of Contact tu? 😂
SisiNimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Sisi huku makamu mwenyekiti Mzee Wasira kasema katiba haituletei chakula, wananchi wana njaa hawataki katiba mpya wanataka chakula na barabaraNimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Waliosoma Hesabu za kujumlisha na kutoa na ile Law of Contract hawajapata hii taabu unayopata wewe 😀😀alie gonga chang'aa pekee ndie anaweza kujipiga kifua kisheria ati Azimio la Umoja One Kenya alliance ina wingi wa wajumbe dhidi ya Kenya Kwanza alliance, kwenye mabunge yote mawili Kenya,
zaidi ya ya hapo ni ulevi tu 🐒
ukinywa chang'aa Lazima ikusumbue sana wakati wengine wanasonga mbele gentleman 🐒Waliosoma Hesabu za kujumlisha na kutoa na ile Law of Contract hawajapata hii taabu unayopata wewe 😀😀
Ni contact au Contract!!??Shuleni ulisoma Hesabu walau na sheria kidogo hata ile Law of Contact tu? 😂
Kama umesoma sheria elementary level utaelewa nilimaanisha ContractNi contact au Contract!!??
Ushasema nchi nyengine, basi itabaki nchi nyengine na sio Tanzania. Kila nchi na taratibu zake.Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Haya 🐼Ushasema nchi nyengine, basi itabaki nchi nyengine na sio Tanzania. Kila nchi na taratibu zake.
HATUNA MAJAJI, TUNA SHYSTER JUDGESNimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa ni Majority
Hapa Tanzania Zitto Kabwe akishindwa Kesi aliyokuwa anamtetea CAG Mussa Assad dhidi ya Spika Ndugai
Mahakama ilisema hauwezi kuingilia Muhimili mwingine
Aidha kwenye Kesi ya Tundu Lisu kuvuliwa ubunge na Spika Ndugai hukumu ilitoka hivyo hivyo
Tena hapo nchi Jirani Majaji wamesema Lwetangura hatakiwi kuendelea na Cheo Cha Mwenyekiti wa Chama chake Cha Siasa kwani Katiba inakataza Spika kuwa Kiongozi wa Chama Cha siasa
Credit: Citizen TV
Mlale Unono 🐼
Hili Tanzania haliwezekani!Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio