Kenya’s deputy chief justice arrested for suspected corruption: police, prosecutor
NAIROBI (Reuters) - Kenya’s deputy chief justice Philomena Mwilu was arrested on Tuesday on suspicion of corruption, failure to pay tax, and improper dealings with a local bank now in receivership, the police and the country’s top prosecutor said.
------------------------------
Huyo ni jaji wa mahakama kuu zaidi, Yani Supreme court
Hapa akiwa supreme court
Hapa akiwa mbaroni kama mshukiwa wa kawaida, tena baada ya hapo alirudi kuwa jaji!
Nafikiri ukichunguza vizuri unaeza ukaona hizo sheria za commonwealth zinazulia jaji kukamatwa kama ni kesi inayohusu uchapakazi/utendakazi au katika mamlaka ya huyo jaji akifanya kazi yake.... Lakini labda kunayo exception kama kesi inayomkabidhi jaji ni personal yani inamhsu huyo jaji kama private citizen... Hauwezi ukaniambia eti jaji anaweza kutoa bunduki na achape mtu risasi hadharani na asishikwe na polisi kisa eti ako na immunity ya commonwealth.....