Jaji Warioba afunguka kasoro za Uchaguzi Serikali za Mitaa, atahadharisha vyombo vya usalama kujihusisha na Siasa

Warioba akisema huwa hasikilizwi...

Ukizoea dhuluma na usifanywe kitu hutakaa uache...
Nilisema hapa kuhusu mambo ya uongozi ni kwamba viongozi wapumbavu uchaguana wapumbavu kwa wapumbavu hili kuongoza na viongozi wenye Akili uchaguana wenye akili hili kuongoza ...hivyo ni ngumu SAMIA kumsikiliza mtu yoyote asiye mpumbavu ...hivyo wenye akili kumshauri samia ni kupoteza muda bure ...kwanza huyo samia bushiri kalaanika tayari ni mjalaana wa ibilisi ...damu nyingi sana inakwenda kumwagika tz . Genius sibahatishi kwa ninacho sema.....nilisema hapa kua mwanamke hafai kuwa kiongozi na sababu mwanamke kamwe awezi kuwa na akili ya kiuongozi ...pia nilionya hapa kuwa waislamu awafai kuwa viongozi kwa hapa tz viongozi waislamu wamethibitika kuwa na upumbavu ulio tukuka sana ...pia nilionya kuwa wazanzibar wanazo akili finyu sana hivyo ni hatari sana kuongozwa na wazanzibar ..

Kwa sasa tanzania tunaongozwa na mtu mwenye sifa hizo zote 3
1)mwanamke
2)mzanzibari
3)muislamu
 
Serikali inajitengaje na Chama? Anatoa mfano wa Katibu Mkuu wa chama wakati viongozi wengi tu wa chama na jumuia zake yanachangia hali hii. Ni wanachama ( au mashabiki wake) ndio wanaoshusha bendera za vyama vingine, ndio wanaowapiga matofali wapinzani, ndio wanaosema wazi kuwa dola ni yao, ndio wanaosema wakiwapoteza watu dola wala isihangaike, ndio wanajisifia kuwa sehemu ya kundi la kuwashughulikia wapinzani n.k. Yote hayo yanafanyika bila wahusika kuchukuliwa hatua. Alipaswa kukikemea chama chake na kukitaka kuchukua hatua kuwa matukio kama haya yanakoma.

Amandla....
 
Akiongea na Waandishi wa habari Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Warioba amesema Hawa Polisi ni Binadamu wa kawaida kabisa hivyo Wana utashi binafsi

Ni hatari sana kuwaingiza Polisi Kwenye Siasa kwa sababu wakigawanyika suluhu yake ni ngumu sana kuidhibiti kisiasa, amesisitiza Jaji

Kwako Lucas Mwashambwa - Makongolosi Chunya
 
Pointi kubwa sana ni hii "POLISI NI RAIA WA KAWAIDA NA KILA MMOJA ANA MAONI YAKE IPO SIKU WATAGANYIKA"

Nikiwahi kufanya kazi Sudani Kusini kule POLISI waligawanyika kukawa na POLISI wa upande wa Serikali na Chama na kukawa na POLISI wa wananchi . Siraha zikagawanywa pia mpaka leo vita ya Sudani Kusini haitaisha hivi karibuni
 
Kila akijitokeza kusema lolote kuna impact? wanaomsikiliza nadhani ni punguani!
Impact kwako wewe ni nini haswa? Mfano kila siku unajisifu kupiga mswaki mara 3 kwa siku mbele za watu ( kushinda kwa kuingiza kura zilizopigwa ndani ya masanduku ya kura na kujinasibu kwamba chama cha majambazi kinakubalika kwa wananchi) siku anatokea mtu mmoja miongoni mwa unaowambia unapiga mswaki mara tatu kwa siku.
Hata kama hutajibu hapo impact itakuwepo au hamna tu kwakuwa hawatakufanya lolote. ???
Ulichoandika wewe ni ishara ya mtu aliyevimbiwa, kujawa na kiburi na aliyevxwa AKILI
 
Matokeo..! kwa hadhi yake hapaswi kuongea km analaumu..haitoshi, achukue hatua inayolingana na hadhi yake ili tuone matokeo ya anayosema!
 
Matokeo..! kwa hadhi yake hapaswi kuongea km analaumu..haitoshi, achukue hatua inayolingana na hadhi yake ili tuone matokeo ya anayosema!
Hadhi yake inamzuiya kutoa maoni yake? Ni kwa mujibu wa kifungu gani cha katiba? Impact unayoizungumzia hapa ni ipi? Watu walisema pana mizengwe kwenye kuengua wagombea wa upinzani. Chawa wakauliza " una ushahidi" leo huyu kasema ni uthibitisho Toshiba kwamba kweli palikuwa na mizengwe.
Kuhusu policcm nao kawataja.
Kuhusu mauaji nayo kasema sasa hizo impacts unazotaka wewe ni zipi. Mana hata kutamka kasoro toka kwenye kinywa cha mtu mzito kama warioba nazo ni impact. Ndo mana akaita wandishi nyumban kwake wakaenda mbona wasije kwako au kwangu???
 
Ameanza leo kusema mambo ya uchaguzi au ukiukwaji wa mambo mbali mbali ya kiutawala? kuna badiliko lolote akisema..km hakuna, kuna haja gani ya kumsikiliza..?
 
Ameanza leo kusema mambo ya uchaguzi au ukiukwaji wa mambo mbali mbali ya kiutawala? kuna badiliko lolote akisema..km hakuna, kuna haja gani ya kumsikiliza..?
kusema ni muhimu kuliko kukaa kimya.hao ambao hawafanyii kazi anayoyaongea hawatakaa kwenye hizo nafasi milele.iko siku atakuja mwingine atayafanyia kazi maneno yake.lakini pia katoa tahadhari kwasababu amani tunayoichezea siku ikivurugika itamkumba kila mtu.au kwako wewe ilo halina impact?
 
Ameanza leo kusema mambo ya uchaguzi au ukiukwaji wa mambo mbali mbali ya kiutawala? kuna badiliko lolote akisema..km hakuna, kuna haja gani ya kumsikiliza..?
Kwa kuwa ana uthubutu wa kusema, na hajavunja sheria mwache aseme. Kama amesema uongo apelekwe mahakamani kwa kuichafua serikali na chama. Kwamba ameanza kusema zamani na hasikilizwi hapo shida ni wenye dhamana ya uongozi waliogoma.na kuziba masikio.
 
Hakuna impact ya postmortem..kwa nini hafanyi hivi kabla uharibifu haujafanyika? na anakaa nao kwenye vikao vya chama chake..ni Tanzania pekee mkubwa anamuogopa mdogo aliyemfundisha kazi..yametokea matukio mabaya kabisa km lile la Marehemu Mzee Kibao, sijasikia sauti yake.. mengine km ya kiongozi wa nchi anaumwa wahusika hawataki kusema wakati anayeumwa na wao wanaokaa kimya wako hapo kwa kodi zetu..wanamfanyia kiburi nani? then anapokufa ndio wanakuja kutangaza kifo..huyu Mzee anaona kilichofanyika ni sawa? Hatukumsikia kusema upuuzi huu ulifanyika! Ustaafu wao una faida gani kwa nchi km ktk umri huo walio nao hawawezi kukemea nonsense za namna hii..! Si bora anyamaze!
 
Kwa kuwa ana uthubutu wa kusema, na hajavunja sheria mwache aseme. Kama amesema uongo apelekwe mahakamani kwa kuichafua serikali na chama. Kwamba ameanza kusema zamani na hasikilizwi hapo shida ni wenye dhamana ya uongozi waliogoma.na kuziba masikio.
Muulize kwa nini hawezi kusema kabla uharibifu haujafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…