PreGE2025 Jaji Warioba ajitosa kusaka suluhu kati ya Tume ya Uchaguzi na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

..sheria mbovu, na watendaji wasio na maadili.

..sheria mbovu, na watendaji wenye maadili.

..sheria nzuri, na watendaji wasio na maadili.

..sheria nzuri, na watendaji wenye maadili.

..Sheria nzuri hulazimisha vilevile watendaji kuzingatia maadili.
 
..tatizo liko kwenye muundo wa Tume, na mnyororo mzima wa watendaji wanaosimamia uchaguzi.
Ni kweli kabisa haya uliyo andika hapa, lakini kuyabadilisha hayo yote katika muda huu mfupi uliopo sasa hadi October hilo haliwezekani, mbali ya kutovunja Bunge lililopo sasa ili liendelee na taratibu za kufanya kazi hiyo kubwa.
Lengo la Mzee Warioba na wazee wenzake ni kuepusha tafrani inayoonekana kujijenga katika ngwe hii ya uchaguzi unaofuata. Kurekebisha KANUNI na kuwabana hao wateule wa Rais na watumishi husika ni njia ya kupunguza presha inayoongezeka kila siku ya kutokea tafrani.
Hata wapinzani watakuwa na nguvu ya kuwabana wanaovunja KANUNI mpya zinazoeleweka na kila mtu, kuhusu taratibu za uchaguzi.
 
Kanuni za kihuni kabisa
 
What's wrong with that aisee...???
Essentially, nothing is wrong with all that you have elaborated, except for the limitation of time involved in doing it.
You need to have parliament in place to pass the necessary laws, but CCM has made it possible by its delaying tactics that there will be no time for that.
 
Essentially, nothing is wrong with all that you have elaborated, except for the limitation of time involved in doing it.
We have plenty of time..

I said, if there's a political will of amending our electoral system, we can push ahead the GE2025 for 6 months, may be until June, 2026 so as to allow procedures of electoral system reforms to take place...

And remember, there's a provisions in the constitution of URT which allows this i .e rescheduling of the date of election for a year if the nation is faced with an emergency event.....

And, what we have now, is truly an emergency which requires immediate actions...
You need to have parliament in place to pass the necessary laws, but CCM has made it possible by its delaying tactics that there will be no time for that.
1. This existing Parliament (which is in session now) can do all what is required to be done...

2. Their delaying tactics can't help them now. All actions are in the hands of citizens - who are the supreme power of the country..

3. If CCM want to continue to manipulate people, then, they've to be ready to face the consequences of their immoral actions...!
 
We have plenty of time..

I said, if there's a political will of amending our electoral system, we can push ahead the GE2025 for 6 months, may be until June, 2026 so as to allow procedures of electoral system reforms to take place...
Basically, we all agree that there's plenty of time; but we also know there's no political will from CCM!
 
Basically, we all agree that there's plenty of time; but we also know there's no political will from CCM!
Yes. The problem is lack of political will...

Tundu said this several times, that, as it stands, the only way for the nation to get electoral system reforms is through "forceful means" like mass demostrations, international pressure through economical sanctions etc..

He said, the existing regime under CCM and Bi Chura Kiziwi from Kizimkazi Zanzibar wil never surrender willingly while in their right senses...!!

The way to freedom is to confuse your enemy or opponent and make him/her senseless, then take your shot and strike him mercilessly...

This tactic is working now...
 
It is my view that, this time around, the gin is no longer in the bottle; CCM will have to contend with this new scenario. No amount of cajoling is going to work!
 
It is my view that, this time around, the gin is no longer in the bottle; CCM will have to contend with this new scenario. No amount of cajoling is going to work!
Absolutely, Yes...

The way to free yourself from enemy's bondage is to confuse by making him look senseless, then take your shot and strike him mercilessly...

This tactic is thoroughly working out...

Just see what is happening now in the CCM and their gvt..

Everything in their side is not working...!!
 
Huyo mzee siyo wa kuchekewa, ana kiherehere sana, much know, kwamba kuwekwa kanuni serikali imekosea? Kwamba anamfundisha Rais wetu kazi? Uwaziri mkuu tu ulimshinda anajua nini ktk kuongoza nchi km mkuu wa nchi? Mh. Rais be strong wanakujaribu, halafu tabia ya wakurya wanadharau wanawake ingawa wanawake wanawaziki akili kwa mbali. Ni lile kabila la watu wabishi wanaoendekeza mfumo dume wasioelimika na kustaarabika. Pili inaonekana huyo babu ni wale wabaguzi wa dini, kipindi cha Magu mbona hakujaribu kunyanyua mdomo? Akome akae kimya akalee vitukuu asitake kudistebalize nchi. Atakuwa anatumiwa na wapinzani.
 
imeisha hiyo , kumbe hii nchi Bado inawazee wenye busara zao WAPO!!!

Na, wasira nimesikia anataja maridhiano Bado yapo au kapigwa juzi nyundo na kardinali
Wasira hamna ana kama lita mbili za asali kila alipo ni kulamba tu so hawezi kujihusisha na shida za mtu
 

..hawa watu watakwenda kuharibu tena halafu tutarudu kwa Mzee Warioba na unyenyekevu wake.

..muda wa kuunda Tume mpya huru na kuiwezesha kuwa na watumishi wake mpaka chini, na kuratibu uchaguzi kwa uwazi, upo.


..Na tusitegemee CCM watakuja kusema muda unatosha. Tangu Mama aingie madarakani CCM wamekuwa wakisema muda hautoshi. Wenzetu wanafanya makusudi.
 
Tusirudie tena kama taifa kuwa nap rais mwanamke. Samia amefelj pakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…