Jaji warioba akimbizwa bondeni

Jaji warioba akimbizwa bondeni

Mrema alikwenda India.Warioba Sauzi!
Ndio kusema hata viongozi wetu hawaamini madokta wetu.Hata baada ya miaka karibu 50 ya uhuru.
 
Mungu amtangulie Mzee wetu Warioba atibiwe na kurudi nyumbani salama.
 
He is one among a handful of remaining shining lights!! Get well soon ,Sir.
 
Ugua pole Mzee tunakuombea urudi na afya njema.

Wewe uliyesema kina Maezeki umenifanya nicheke wakati habari ni ya huzuni
 
Back
Top Bottom