Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?

Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo.

Kwa ujumla ana mawazo mazuri sana.

Msikilize:

Sababu Magufuli kafa ila alipokuwa Hai Magufuli walitaka wabadilishe atawale milele
 
INTRODUCTION

Nimefuatilia kuhusu kuandika katiba Mpya ambalo ni takwa la watanzania wengi, nikajiridhisha kwamba, kama CCM ikiwa madarakani katiba Mpya ni haiwezekani.

MAIN BODY
Kwa sababu katika mataifa yote yalifanikiwa kuandika katiba Mpya, mambo mawili au matatu yametokea kwanza ndo Katiba mpya ikatokea!

Mosi; Msuguano wa kimawazo! Serikali ikiona suala la katiba nompya kutokuwa kipaumbele na wananchi wakiona kama kipaumbele baada ya kuridhika kwamba katiba imepoka mamlaka ya wanachi na kuyarundika katika mhimili mmoja unaoitwa serikali! Tanzania kwa Sasa iko katika hatua hii. Freeman Aikaeli Mbowe, anajaribu kusuguana na serikali kifikra! Na serikali ambayo imeshaonja utamu wa Katiba iliyopo inakuwa haionekani kujifunza wala kuchukua mawazo mbadala kuelekea katiba mpya, bali kutumia kila njama kuaminisha jamii kuwa suala hilo halina msingi kwa Sasa, na kufanya hivo ni chokochoko! Tunatakiwa kuvuka hapa twende hatua ya pili.

Pili, Kuvurugana kinguvu! Mbwai mbwai (sitamani itokee), lakini ni hatua! Kote ambako katiba Mpya imeandikwa kumetokea timbwili la Asha Ngedere kwanza ndo Katiba ikaandikwa! Fuatilia Kenya, na hata Zanzibar! Kimeumana kwanza ndo akili ya Viongozi ikakaa sawa! Siamini kama ni njia nzuri, lakini kwa uzoefu ipo katika hatua za kuitafuta na kuipata katiba Mpya! Kuna wakati mwalimu wangu wa history aliuliza why armed struggle, jibu lilikuwa rahisi tu, Failure of peaceful means! If you fail to provide the required demands of the society peacefully, they can try it through bloodshed! Tuwe makini! Kisiwa cha uvumilivu kina mipaka, kina ukomo!

Tatu, Kuondolewa chama Tawala Madarakani. Ni ngumu sana kuandika katiba Mpya Kama chama dola , ambacho kinanufaika na katiba iliyopo kikiwa Madarakani. Wakifanya hivo, ujue katiba hiyo itakuwa imepakwa rangi tu. Itakuwa ni Calorite kwenye ngozi ya mtu mweusi! Hivyo, jukumu letu kubwa ni kupigania kwanza kukiondosha chama Tawala. Maana hata katiba iliyopendekezwa si ile ya Warioba. Imechakachuliwa! Imepakwa rangi! Hivyo jambo kubwa ni box la kura, ambalo nalo halina haki ndani yake, kutokana na ukweli kwamba katiba iliyopo haitoi nafasi kwa vyama mbadala kushinda , hata kama wananachi wataamua tofauti!

HITIMISHO
Namba moja ni uchochezi na chokochoko na ugaidi. Namba mbili, kisiwa cha uvumilivu kilishajengewa hofu tangu enzi za Mwl, na kufundishwa kumuachia Mungu. Namba tatu, Mwamzi ni yule Mtoto wa chama dola! Haiwezi kumwangusha Baba, wala mama! Kwa hiyo, hata mimi sijui[emoji3]!

USHAURI!
Free Mbowe! Aendelee kutoa elimu, ili isaidie upatikanaji wa Katiba mpya kwa njia ya kwanza!

Ahsante

[emoji122][emoji122][emoji122] nimekuelewa sana mkuu [emoji120]
 
Kama rasimu ya katiba mpya ipo, kuisambaza kwa wananchi na kuweka siku ya kupiga kura ya maoni (referendum) kunazuiaje kujenga uchumi. Nilifikiri ninakosea kuwa na mawazo kama haya, kumbe gwiji mwenyewe mwenye rasimu yake ndo thinking yake ilivyo pia......basi ngoja tuwasubiri makanjanja wa kutoka chama chakavu waje wamwage upupu hapa.......
 
Uzuri ni Kwamba wanaosema katika si kipaumbele sasa hivi wana watu wengi na kwa vyovyote vile watakuwa na maamuzi kupitia wingi wa kura za wajumbe na wananchi!

Wanaopiga kelele za kutaka katiba mpya, ambao naamini agenda yao iliyojificha ni kusaka madaraka tu, hawana chao hata ikikubaliki tuendelee na mchakato wa katiba. Tegemeo lao ni kuleta vurugu ili wapate upenyo wa kulazimisha agenda zao.

Mambo yakiwa kama kawaida, matakwa ya walio wengi yapewe njia, bado watapiga kelele tu. Sababu ukizungumza katiba mpya ni nini ambacho walio wengi wataridhia kiwemo. Na siyo wanachotaka wao kiwemo. Nawakumbusha tu mchakato wa katiba mpya uliopita. Mpaka ikapelekea wakakimbia bunge maalumu la katiba.
Mara nyingi mjinga huutafuta ujinga yeye mwenyewe.

Huyu yawezekana hakuna anachoelewa cha maana Duniani. Ni wale walioondoa akili na kubakiza kichwa kwa sababu kina mdomo anaotumia kulia chakula.

Kwa wenye akili:

Report ya Tume ya Jaji Warioba , wananchi walio wengi walisema wanataka katiba mpya. Hata wale waliosema wanataka katiba ya mwaka 1977 iendelee, waliotaka ifanyiwe marekebisho makubwa. Ukiangalia marekebisho wanayoyataka, yanamaanisha kupata katiba mpya.
 
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?

Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo.

Kwa ujumla ana mawazo mazuri sana.

Msikilize:

CCM mnachokitaka hakika mtakipata,Kama mmejiandaa kukimbia nchi Bora muanze Sasa.
 
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?

Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo.

Kwa ujumla ana mawazo mazuri sana.

Msikilize:

It is a matter of time. I see the constitutional reform in offing.
 
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?

Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo.

Kwa ujumla ana mawazo mazuri sana.

Msikilize:

Waache waendelee kushupaza shingo.
 
Uzuri ni Kwamba wanaosema katika si kipaumbele sasa hivi wana watu wengi na kwa vyovyote vile watakuwa na maamuzi kupitia wingi wa kura za wajumbe na wananchi!

Wanaopiga kelele za kutaka katiba mpya, ambao naamini agenda yao iliyojificha ni kusaka madaraka tu, hawana chao hata ikikubaliki tuendelee na mchakato wa katiba. Tegemeo lao ni kuleta vurugu ili wapate upenyo wa kulazimisha agenda zao.

Mambo yakiwa kama kawaida, matakwa ya walio wengi yapewe njia, bado watapiga kelele tu. Sababu ukizungumza katiba mpya ni nini ambacho walio wengi wataridhia kiwemo. Na siyo wanachotaka wao kiwemo. Nawakumbusha tu mchakato wa katiba mpya uliopita. Mpaka ikapelekea wakakimbia bunge maalumu la katiba.
Walio wengi uliwahesabu lini? Si jibu lingeletwa na kura ya maoini?
 
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?

Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo.

Kwa ujumla ana mawazo mazuri sana.

Msikilize:

Huyu mzee yuko vizuri. Huyu ni baina ya wachache wasiomung'unya maneno. Katiba mpya ni kipaumbele lakini tusiache Corona itumalize.

Asiseme uchumi. Aseme Corona. Ila pia asisingizie Corona.

Nchi zinaongozwa kwa uwazi na ukweli. Siyo kwa visizingizio na uonevu.

SSH kama mwendazake - roho mbaya sana.
 
Walio wengi uliwahesabu lini? Si jibu lingeletwa na kura ya maoini?

😂😂!

IMG_20210808_143336_531.jpg
 
Back
Top Bottom