Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

Sababu Magufuli kafa ila alipokuwa Hai Magufuli walitaka wabadilishe atawale milele
 

[emoji122][emoji122][emoji122] nimekuelewa sana mkuu [emoji120]
 
Kama rasimu ya katiba mpya ipo, kuisambaza kwa wananchi na kuweka siku ya kupiga kura ya maoni (referendum) kunazuiaje kujenga uchumi. Nilifikiri ninakosea kuwa na mawazo kama haya, kumbe gwiji mwenyewe mwenye rasimu yake ndo thinking yake ilivyo pia......basi ngoja tuwasubiri makanjanja wa kutoka chama chakavu waje wamwage upupu hapa.......
 
Mara nyingi mjinga huutafuta ujinga yeye mwenyewe.

Huyu yawezekana hakuna anachoelewa cha maana Duniani. Ni wale walioondoa akili na kubakiza kichwa kwa sababu kina mdomo anaotumia kulia chakula.

Kwa wenye akili:

Report ya Tume ya Jaji Warioba , wananchi walio wengi walisema wanataka katiba mpya. Hata wale waliosema wanataka katiba ya mwaka 1977 iendelee, waliotaka ifanyiwe marekebisho makubwa. Ukiangalia marekebisho wanayoyataka, yanamaanisha kupata katiba mpya.
 
CCM mnachokitaka hakika mtakipata,Kama mmejiandaa kukimbia nchi Bora muanze Sasa.
 
It is a matter of time. I see the constitutional reform in offing.
 

Waache waendelee kushupaza shingo.
 
Walio wengi uliwahesabu lini? Si jibu lingeletwa na kura ya maoini?
 

Huyu mzee yuko vizuri. Huyu ni baina ya wachache wasiomung'unya maneno. Katiba mpya ni kipaumbele lakini tusiache Corona itumalize.

Asiseme uchumi. Aseme Corona. Ila pia asisingizie Corona.

Nchi zinaongozwa kwa uwazi na ukweli. Siyo kwa visizingizio na uonevu.

SSH kama mwendazake - roho mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…