Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Umekosea sana, hujui vetting ziliwaangusha wengi. Kwa jinsi system za uteuzi zilivyo ni ngumu sana kupendelea
 
Mleta Uzi ni tapeli Na mwongo mwongo: mwinuka ni wa Ludewa siyo Kanda ya ziwa. Bujulu ni mhaya pure siyo msukuma. DG Wa TBS ni Yusus Ngenya siyo Athman Ngenya. Kwa misleading hizi hata hayo mengine uwongo
 
Mzee wangu anaanza kufeli,asikubali kufana na wanaolalamikiwa,yeye anaheshimika sana.
 
Hujui kiswahili,unavurunda,yaani hukuelimika vizuri shule ya misingi Hadi ulipofikia kielimu
Ok sawa nipo hivyo.
Niambie sasa wewe umefaidika nini maishani mwako kwa mimi kuwa na sifa hizo?
 
Kwa hiyo na wewe unamtetea 'Maza Mizinguo' kwa vile anafuata nyayo za Magufuli?
Watu wengine akili zenu ni tope kwelikweli!
 
Ungetanabaisha kinagaubaga mzee Warioba kasema nini kisha ushushe nondo zako!

Umejikita kwenye taasisi tu ku-justify udini wa Magufulo lakini ukasahau kuwa Makamu wa Rais walikuwa Waislam, bado akamteua Katibu Mkuu Kiongozi Muislam bwana Bashiru, Mawaziri kibao walikuwa Waislam, nenda kwenye posts nyingine.

Lengo langu ni nikueleze kuwa kiukweli hii nchi yetu sote nakuunga mkono kwa hilo, udini na ukabila ni hisia aipatayo mtu pale akiamua kuwaza katika ilo.

Mfano akili ikishakutuma Samia ana udini basi utaanza kumuangalia katika jicho la udini kwa kila afanyacho kumbe wala kiuhalisia sivyo!

Mimi Mkristo-Mkatoliki lakini sijaona udini wa Samia hata kidogo, Mhe. Rais amejitaidi kubalansi sana hongera zake!

Sema kidooogo jembe letu Magu duh kanda yetu ilipatamo sana kwakweli Mungu anisamehe lakini alizidisha kidogo..pamoja na kwamba tunajali sifa lakini sikweli kwamba kanda moja ndo inakuwa na sifa peke yake!

Ushauri wangu; Hii nchi yetu sote tujitaidi kujibalansi wenyewe kulingana na social facts zilizopo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…