Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nikipata hiyo au kinyume chake inakuwasha nini wewe?Tegemezi ni mtu anaemtegemea Fulani,ukute ulipata wani o&a level
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata hiyo au kinyume chake inakuwasha nini wewe?Tegemezi ni mtu anaemtegemea Fulani,ukute ulipata wani o&a level
Umekosea sana, hujui vetting ziliwaangusha wengi. Kwa jinsi system za uteuzi zilivyo ni ngumu sana kupendeleaFriends and Our Enemies.
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao.
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi.
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gani.
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika.
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo
28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo
32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo
33. CAG Charles Kichere Mkristo
34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Hujui kiswahili,unavurunda,yaani hukuelimika vizuri shule ya misingi Hadi ulipofikia kielimuNikipata hiyo au kinyume chake inakuwasha nini wewe?
Hizo vetting wanafaulu wasukuma tu na wakiristo!!?Umekosea sana, hujui vetting ziliwaangusha wengi. Kwa jinsi system za uteuzi zilivyo ni ngumu sana kupendelea
Wacha udini na ukabila wewe mhamiaji haramu.
Unataka kutuchafulia hali ya hewa ili tuwe kama kwenu?
Ok sawa nipo hivyo.Hujui kiswahili,unavurunda,yaani hukuelimika vizuri shule ya misingi Hadi ulipofikia kielimu
Kwa hiyo na wewe unamtetea 'Maza Mizinguo' kwa vile anafuata nyayo za Magufuli?Friends and Our Enemies.
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao.
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi.
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gani.
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika.
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo
28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo
32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo
33. CAG Charles Kichere Mkristo
34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Wewe unaipinga kwa vigezo vipi? tuwekee hiyo uliyo nayo......Hiyo asilimia 95 kuwa wakristo pekee ndio wasomi waliobobea kwenye fani hizo umeipataje?
Kuna mahali popote ambapo nimepinga?Wewe unaipinga kwa vigezo vipi? tuwekee hiyo uliyo nayo......
Ahaa kumbe umeunga mkono, basi sawa...Kuna mahali popote ambapo nimepinga?
Nimekuuliza swali, sijaunga mkono.Ahaa kumbe umeunga mkono, basi sawa...
Swali lipi?Nimekuuliza swali, sijaunga mkono.
Ntafaidikaje na mvurundaji!!?..we unafikiri sawasawa!!?Ok sawa nipo hivyo.
Niambie sasa wewe umefaidika nini maishani mwako kwa mimi kuwa na sifa hizo?
Kwahiyo?Ntafaidikaje na mvurundaji!!?..we unafikiri sawasawa!!?