Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Maneno mengi mtoa mada amemlisha Jaji..mtoa mada ni mwanachama wa chama fulani. Sasa kwa kuwa Mzee hataki ujinga unaoendelea basi huyu ni mmojaeapo wa waledraw attention ili Mzee aonekane msaliti. Mods uu uzi ni wa kibaguzi ila hamjauangalia kwa umakini. Futilia mbali
 
Nongwa yako ni DINI na KABILA ambavyo huwezi kuthibitisha. Kuwa na jina la kikristo haimaanishi kwamba ni mkristo.

Awamu ya sasa ndio wachochezi wa uwepo wa ukabila na udini hivyo kuchochea mteuzi kuanza kupangua watu bila kuzingatia uwezo wa mtu. Hakuna sera uwiano wa kabila, udini au ukanda kama ulivyojikita kwenye andiko lako la chuki binafsi.

Enzi za Nyerere mbona ilisemwa hivi hivi lakini aliwajibu ipasavyo.

Kwenye kuongoza mifumo na jamii iliyokuwa imeharibiwa taswira ni sharti uchanganye 'carrot+stick' leadership approach.
 
Mkuu unauchochea udini kwa speed kubwa sana. Nikukumbushe tu kwamba wewe pia utakuwa mhanga yakiharibika ya kuharibika. Kwanini uwajudge watanzania kwa majina yao? Ni nani amekuambia kuwa ukiitwa tu John wewe ni mkristo au ukiitwa tu Abdallah basi wewe ni muislamu? Majina na imani za kidini ni vitu viwili tofauti kabisa trust me.
 
Tito Mwinuka Tanesco badilisha Mkristo Iringa/Njombe badilisha, pia tunaomba na orodha kama hio enzi za kikwete toka 2005 hadi 2015, na uende ofisi za NSSF nchi nzima uone lilivyo shirika la kiislamu nchi hii ni hatari sana. Mungu atusaidie tu. Hapo bado Makabila kwenye taasis na mawizara, kwenye halmashauri na mikoa, duuh wengine kila sehemu ni kama sisimizi tu.
 

Mkuu tafakari yangu: Vigezo vya kuteuliwa kwao Ni kabila au uwezo? Walianza kuchagua dini kwanza au kanda au ukabila? Nani alifanya vetting JPM mwenyewe. Je. Huo ukristo unamsadiaje mkristo mwingine ili kuifanya dini iwe kigezo? Unahisi sababu ya kuwachagua hao wakristo?

Umemtaja Pengo so unamaanisha wakatoliki, je Unajua kuwa Kanisa Katoliki wamepata changamoto sana katika taasisi zao kipindi Cha JPM? Hao wakubwa wakristo wakatoliki walikuwa wapi?

Jitahidi sana kuepuka kuzungumzia maudini udini. Ni uduni mkubwa sana wa kufikiri. Mada yako ingekuwa kuhusu kukosa kwao sifa katika vyeo walivyopewa then ungeweza kuwa na maswali Kwanini wako pale. Sifa inasema awe na Elimu ya udaktari kwenda juu. Sasa huyu namjua kabisa darasa la saba au Ana diploma tu nk. Huyu mdini makamu Wake alikuwa mwislamu. Waziri mkuu mwislamu. Judge mkuuu mwislamu. Spika mkristo Lakini dhehebu tofauti na anataka sehemu tofauti.
 
Aache kushauri leo awaachie nchi akina makamba halafu mambo yawe mabaya zaidi unauhakika hataulizwa alikokuwa Hadi mambo yakaharibika kiasi hicho?
 
THE BIG BOYA, acha chuki, hapo ni shule....🤣🤣🤣
 
Tanzania maendeleo ya kweli mtakuwa mnayasimulia tu kwenye makaratasi sababu kuu ni UDINI unaongelewa sn anapo tokea RAIS MUISLAM ndio hii inazungumzwa sn.

Kwani ukiangalia uwiano WAKRISTO ndio wapo wengi kwenye serikali kuliko WAISLAM lkn binaadam hawezi ridhika hata kidogo tatizo kubwa ni mazoea toka nyuma ..........But they have to remember ROMAN CATHOLIC (RC) is loosing influence right now in the world they have to go with time.
 
Mitazamo tu ndugu yangu, kila mtu mara nyingi huwa na mitazamo yake ambayo pengine husukumwa na ubinafsi, ukweli wa mambo ulivyo, kujipendekeza n.k
Warioba katoa main yake kama raia wengine Kwa kutumia Uhuru wake kikatiba kama raia. Akienda kinyume Sheria zipo zitamuhukumu acha watu waseme nchi ni ya wote Wala siyo Mali ya serikali Bali nI Mali ya Taifa la TZ
 
Kumtetea Magufuli kunahtaji kujitoa ufahamu kabisa, hapa umegusagusa tu. Ukabila wa Magufuli ni wa level nyingine Bora ukae kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…