THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #21
Yaani Heading ya uzi Nimeisoma zaidi ya mara saba sioni jambo alilofanya kiasi cha kuambiwa aachane na serikali.
Literature...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Heading ya uzi Nimeisoma zaidi ya mara saba sioni jambo alilofanya kiasi cha kuambiwa aachane na serikali.
Yaani Heading ya uzi Nimeisoma zaidi ya mara saba sioni jambo alilofanya kiasi cha kuambiwa aachane na serikali.
Kama ni tafsida umetumia basi kumbe bado haujawa open kama ulivyosema mwanzo. Nakutakia asubuhi njema.Literature...
Kabisa mkuu wala haujakosema.
Mbona kama hukumuelewa Warioba, Warioba alisema ni kweli hata yeye hayo malalamiko anayasikia kama Samia alivyosema anayasikia...na wala hakusema kuwa yana mashiko , akasema tukemee ukabilaWatu 8,
Uko sahihi,lakin why double standards katika kuhukum zinapofanyika hizo teuzi?
Gas ilitoka au haikutoka?Mimi sijamuelewa anamaanisha nin
Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba *Mkristo *
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale *Mkristo *
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa *Mkristo *
28. DG NIDA Anorld Kihaule *Mkristo *
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi *Mkristo *
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga *Mkristo *
32. CG TRA Edwin Mhede *Mkristo *
33. CAG Charles Kichere *Mkristo *
34. SUMATRA Gilliard Ngewe *Mkristo *
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote,ila inashangaza Sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake Tena competent ambao nao Wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongoz unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Udini umemfanya huyu jamaa amelegea kama mlenda.Gas ilitoka au haikutoka?
Halooooow. Umefanya kazi kubwa sana. Umekuwa kama msaidizi wa Ponda vileFriends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake
THE BIG BOYA, acha chuki, hapo ni shule....🤣🤣🤣Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni
Warioba katoa main yake kama raia wengine Kwa kutumia Uhuru wake kikatiba kama raia. Akienda kinyume Sheria zipo zitamuhukumu acha watu waseme nchi ni ya wote Wala siyo Mali ya serikali Bali nI Mali ya Taifa la TZMitazamo tu ndugu yangu, kila mtu mara nyingi huwa na mitazamo yake ambayo pengine husukumwa na ubinafsi, ukweli wa mambo ulivyo, kujipendekeza n.k
Kumtetea Magufuli kunahtaji kujitoa ufahamu kabisa, hapa umegusagusa tu. Ukabila wa Magufuli ni wa level nyingine Bora ukae kimya.Wewe ni muongo na mwenye kutoa maoni kwa mihemko.
1. Sio kweli kwamba Magufuli hajawahi kulalamikiwa kuhusu ukabila. JPM ni Rais ambaye alilalamikiwa wazi wazi kuhusu ukabila.
2. Hivi kama wewe sio vetting authority unajuaje kabila la mtu? Kama kujenga hofu kwa kutumia uongo na jambo usiloweza kulithibitisha?
3. Umesema aliyekuwa MD wa TANESCO ni mtu wa kanda ya ziwa. Toka lini kina Mwinuka wakawa kanda ya ziwa? Majina ya kina Mwinuka yanatumiwa sana na kabila la Wabena wanaoishi mikoa ya Njombe na Iringa. Watu wa Mambako, Wang'ing'ombe, Mufundi, Mafinga, Lupembe na maeneo mengine ya Njombe na Iringa.
4. Kuna ubaya gani watu kutoka kanda ya ziwa wakiwa wengi kwenye ukuu wa taasisi za umma kama wana sifa?
Wewe akitokea mtu kutoka kijijini kwenu akawa DG wa taasisi huwa anagawa mshahara wake kwako au ndugu zako wenye shida?
5. Kila kiongozi ana ruhusa ya kuteua watu anaowaamini katika utawala wake ili mradi wana sifa zinazotakiwa na sheria inayounda taasisi husika.
6. Acheni kutengeneza chuki katika nchi dhidi ya jamii fulani fulani au kanda fulani.
Haitatusaidia kitu kama nchi zaidi ya kubomoa.