muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.