Kama mwanaume kweli ajivue uanchama anaogopa nini?Pension yake sio hisani IPO kwa mujibu wa sheria kwahiyo lazima aile kwa kulisaidia Taifa kama hivi anavyo fanya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanaume kweli ajivue uanchama anaogopa nini?Pension yake sio hisani IPO kwa mujibu wa sheria kwahiyo lazima aile kwa kulisaidia Taifa kama hivi anavyo fanya!
"Lisije kuingizwa kisiasa" aliyemwambia linaingizwa kisiasa nani? kwa hiyo taasisi zote hazina maadili? hebu anukuu hayo matamko ya polisi ya kisiasa. Mchawi anawanga mchana. Ndio mwana chama pekee wa CCM anayeomba chama chake kishindwe. Anaongea kama nani huyu mzee.Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.Na kuongeza:
"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
View attachment 3168783
JK alishatoa taadhari tena akiwa rais kuwaambia wenzie wasiwategemee kuna siku watawakataaWaziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.
"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."
"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".
Beneficiary at work, ujinga ni mzigo!!Toka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
Labda na Mimi pia 😅🙏🙌 kwa mbali alakini 👍Huyu ndiye mwanasisiemu aliyebakia nchi nzima.
Akili yako inavyokutuma hawa viongozi wanashaurikaHuyu alikuwa waziri mkuu kwa Nini asiende kiwashauri viongozi wa Sasa Hadi aongee hadharani au kulikoni. Yeye wakati wake ilikuwaje.
Huyubmzee anahitaji abakwe labda ndo atajua yy ni naniHuyu Mzee asipotekwa sijui yaani
UjielewiToka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
Mmhdemokrasia ya kazi gani?, CHINA wamepiga hatua kimaendeleo kwa kufuata misingi ya demokrasia za magharibi?, FIKIRI NJE YA BOX, usikariri,
..maneno ya mlevi wa gongo, sisi tutaka hizo pumbu unywe supu akili ikae sawa.Beneficiary at work, ujinga ni mzigo!!
Siku UKIBINYWA PUMBU ndo utakuja kuelewa,
..vp utaelewa km akili iko tumboni..Ujielewi
Na vile amepishana na ubonge, aisee mbona kaziHuyu Mzee asipotekwa sijui yaani
Na WATZ tukabaki kimya!!!Unaweza kushangaa mzee Katekwa