Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa
"Kwa sababu mimi nasema namfahamu Nchimbi. Kitu kimoja Nchimbi, sio chawa wa aina yoyote wa Nchimbi. Alipokuwa kwenye chama hakuwa chawa na vijana wenzake. Na ameendelea hivyo hivyo, na mmemuona matamko aliyokuwa akitoa, Nchimbi alikuwa na anaamini." Amesema Jaji Mstaafu Joseph Warioba