Unaelewa maana ya "chawa"?Huyu alikuwa chawa kwa Lowasa
Mtu wa kwanza mkubwa ccm kumfuata lowasa alikuwa sumaye,je unataka kuniambia kwa kigezo hicho sumaye alikuwa chawa wa lowasa?Unaelewa maana ya "chawa"?
Alivyoondoka Lowasa kwenda upinzani Nchimbi alibaki CCM
Tupo kwa NchimbiMtu wa kwanza mkubwa ccm kumfuata lowasa alikuwa sumaye,je unataka kuniambia kwa kigezo hicho sumaye alikuwa chawa wa lowasa?
Nilikuwa najibu hoja Yako uliyosema mbona hakumfuata lowasa alipohamia upinzaniTupo kwa Nchimbi
Mpinge mzee Warioba aliye muelezea kwa kina na kusema kilicho mtokea ni kutokuwa muumini wa uchawa tangu amfahamu kwa ukaribu mwaka 1998 alipochukua kitu cha mwenyekiti UVCCM
Mkuu,ulihama mada kama wakili Katuga kwenye kesi ya Lissu πππNilikuwa najibu hoja Yako uliyosema mbona hakumfuata lowasa alipohamia upinzani
Hoja ni pamoja na mifano iliyo waziMkuu,ulihama mada kama wakili Katuga kwenye kesi ya Lissu πππ
Hawa mawakili wa serikali ni vile tu hawana namna ya kufanya lakini Lissu anawafedhehesha sana ujueMkuu,ulihama mada kama wakili Katuga kwenye kesi ya Lissu πππ
Sana,wakili Ajuaye alifanya mambo ya fedheha jana, Lissu hakuwa na roho mbaya akamsaidiaHawa mawakili wa serikali ni vile tu hawana namna ya kufanya lakini Lissu anawafedhehesha sana ujue
HahahaaaSana,wakili Ajuaye alifanya mambo ya fedheha jana, Lissu hakuwa na roho mbaya akamsaidia