only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba ni lazima iwe ya wananchi wote na sio ya watu wachache. Ushauri wake, KUKAA PAMOJA NDIO SUHULU YA MWISHO. Na ameomba kuwa bunge likae upya kujadili kwanini TUME yake ivunjwe baada ya kuwasilisha katiba kwa bunge maalum la katiba?
Source: Channel Ten
Source: Channel Ten