Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema mzee huyu akasimama imara kuhakikisha Tanzania inapata katiba bora, tena iliyoridhiwa na wananchi wote ili alinde heshima aliyojijengea kwa taifa hili.
KOMAA MZEE!
kuna mtoto wa kibajaj yeye anasema wabunge 49 wa upinzani hawawezi kuwaongelea watanzaniaMwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba ni lazima iwe ya wananchi wote na sio ya watu wachache. Ushauri wake, KUKAA PAMOJA NDIO SUHULU YA MWISHO. Na ameomba kuwa bunge likae upya kujadili kwanini TUME yake ivunjwe baada ya kuwasilisha katiba kwa bunge maalum la katiba?
Source: Channel Ten
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba ni lazima iwe ya wananchi wote na sio ya watu wachache. Ushauri wake, KUKAA PAMOJA NDIO SUHULU YA MWISHO. Na ameomba kuwa bunge likae upya kujadili kwanini TUME yake ivunjwe baada ya kuwasilisha katiba kwa bunge maalum la katiba?

Wazo la mzee Warioba ni zuri sana lakini swali langu ni hili,Je,nani wa kuitisha kikao hiki cha kwenye meza ya mazungumzo ili kuondoa tofauti zetu?
Dr Maria Nagu aliwahi kuwaambia wajumbe wa baraza la katiba wilaya kuwa CCM ingelijua kuwa Walioba ni CDM rais asingelimweka mwenyekiti wa tume. Viva warioba.Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba ni lazima iwe ya wananchi wote na sio ya watu wachache. Ushauri wake, KUKAA PAMOJA NDIO SUHULU YA MWISHO. Na ameomba kuwa bunge likae upya kujadili kwanini TUME yake ivunjwe baada ya kuwasilisha katiba kwa bunge maalum la katiba?
Source: Channel Ten