Jaji warioba wapashe hao magamba a. Katiba ni ya watoto wetu na wajukuu zetu. Sio ya kina le mutuz.Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoipa hii nchi katiba bora. Amesema lazima tofauto zote zipatikane kwenye meza ya mazungumzo. Kasema katiba ni lazima iwe ya wananchi wote na sio ya watu wachache. Ushauri wake, KUKAA PAMOJA NDIO SUHULU YA MWISHO. Na ameomba kuwa bunge likae upya kujadili kwanini TUME yake ivunjwe baada ya kuwasilisha katiba kwa bunge maalum la katiba?
Source: Channel Ten
Mzee Warioba amaliza muda wake kuitumikia Tanzania hivyo yeye hana cha KUPOTEZA. Aendelee tu na nia yake njema na atakuwa salama. Mungu ambariki sana.mzee Warioba Mungu akulinde wasije kukungoa meno, kucha na macho
Lowasa atawaelewa? Katumia pesa mingi sana Kama vipi mrudishe mzigo wa jamaa vinginevyo ni kuchakachua kwenda mbeleMzee Warioba amaliza muda wake kuitumikia Tanzania hivyo yeye hana cha KUPOTEZA. Aendelee tu na nia yake njema na atakuwa salama. Mungu ambariki sana.