Jaji warioba : Maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoleta katiba bora kwa taifa.....

Ni wazo zuri tena huyu Mzee Warioba ameona mbali tena mimi hili wazo naona wale wabunge wachache ambao hawakusikilizwa mawazo Yao bungeni leo wamepata sapoti! Safi sana Mzee wetu Warioba !
 
Ni vema mzee huyu akasimama imara kuhakikisha Tanzania inapata katiba bora, tena iliyoridhiwa na wananchi wote ili alinde heshima aliyojijengea kwa taifa hili.
KOMAA MZEE!

Hibi Werema, Lukuvi, Wasira, Ndugai, Nape na wabunge wa Ccm huwa wanafikiria kwa kutumia nini! Wana mawazo ya matumno yao tu as if wataishi milele,
 
kuna mtoto wa kibajaj yeye anasema wabunge 49 wa upinzani hawawezi kuwaongelea watanzania
 
Katiba ni ya wote, watanzania tuungane kwa pamoja kumsuport rais kikwete katika kupambana na wanaomhujumu rais kuelekea kupata katiba mpya!
 

Wazo la mzee Warioba ni zuri sana lakini swali langu ni hili,Je,nani wa kuitisha kikao hiki cha kwenye meza ya mazungumzo ili kuondoa tofauti zetu?
 

Nyundo kwa CCM hiyo!
CCM walimchagua huyu jamaa wakidhani kua ,kila mwenye kadi ya Kijani,hupenda kika kitendwacho,au Kiamrishwacho na Viongozi wa Juu..
Mmepotea 100%
Sasa hivi CCM mko keupee,na tayari mko Kibra..
Janja yenu juu ya kuichakachua Katiba Mpya imeishagundulika!
 
Maridhiano hayaji kwa kutosikiliza hoja za upande mmoja b
 
Wazo la mzee Warioba ni zuri sana lakini swali langu ni hili,Je,nani wa kuitisha kikao hiki cha kwenye meza ya mazungumzo ili kuondoa tofauti zetu?

JK akiamua anaweza kwa sababu yeye mwenyewe alishawaambia maccm wajiandae kisaikolijia kupokea mageuzi. Inaelekea hawakumwelewa lakini akirudia tena na tena watamwelewa tu.
 
mbona warioba mtamu sasa au anatutanguliza tu? Warioba tunakuomba usiongee hivyo kwa suti kubwa Seif Ali Iddi, Shamsi Nahodha na Mzee wa Ruksa watakuchenjia au upewe bordgad kila unapokwenda?
 
our fate depends on Jk's wisdom...lets pray 4 him & 4 our nation
 
Tutaenda mbele na kurudi nyuma,lakini cha msingi ni kuwa CCM hawakuwa na KATIBA kwenye ilani yao ya uchaguzi kwa hiyo hawawezi kukubali hilo,tupende tusipende hakuna KATIBA mpya ndiyo imeshakwisha tena.
 
Dr Maria Nagu aliwahi kuwaambia wajumbe wa baraza la katiba wilaya kuwa CCM ingelijua kuwa Walioba ni CDM rais asingelimweka mwenyekiti wa tume. Viva warioba.
 
mzee warioba umevaa viatu vya baba wa taifa na vimekuenea si wale ambao wamejaza matambala na soksi lukuki na wakitembea viachomoka
 
mzee warioba umevaa viatu vya baba wa taifa na vimekuenea si wale ambao wamejaza matambala na soksi lukuki na wakitembea vinachomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…