Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya
Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka
Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo chake.
Watu hawa walisubiri kusuluhisha baada ya hukumu kutoka lakini hawakujihusisha kumaliza mgogoro kabla wala kumkanya Musiba asiendelee kumhujumu Membe enzi za mwendazake
Kwa kuwa wewe umejaaliwa na kupendwa na Mungu Muumba wa Mbingu na nchi basi nenda ukawaulize hawa wakuu wa dini kuwa wanadhani sisi tunawaonaje kwa jambo hili
Pia waulize kama hawataki Mama atawale kwa amani, au kama wanavinyongo kwa utawala wa Mama. Usisahau kuwauliza walifanya nini miili ilipookotwa kwenye viroba, wafanyabiashara kuporwa fedha zao, waandishi na wakosoaji kupotezwa na mengine
Waulize kama ni sawa kuwa na double standard hio Duniani na mbinguni