Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

Kwahiyo Deni la musiba ndio imeisha ama atailipa familia??
Mkwere amesema ,kwasasa mambo yote ambayo membe angetakiwa kuyafanya yatakuwa chini yake yeye mkwere (familia yote yeye ndo baba na ndo baba Yao mkubwa)

Isipokuwa labda shemeji kujaneishwa na yeye,Kwa uelewa wangu

Swala la msiba litakua palepale
 
Mimi viongozi wa dini nilishaacha kuwaamini kitambo. Wengi ni wachumia tumbo, wasiosimamia haki, na vibaraka wa watawala. Ndo maana French Revolutinaries (akina Voltaire na Robespierre) waliwadeal sana viongozi wa dini;hasa wale wa lile kanisa kubwa la Kadinali Pengo. Wengi wao ni masnitch.
 
Kardilali atakwambia , kwanza piga magoti utubu dhambi zako, baada ya hapo atakwambia usiwahesabie haki binadamu wenzako.
 
Please asiende kwani kuna uwezekano akirudi huenda asikae hata siku kadhaa naye atakufa
 

Mwenyezi Mungu ndio ana hati miliki ya maisha yetu.
Membe alikuwa mwanadamu kama wengine. Tusijisahau kuwa tunakufa. Iweje kufa kuwe na maneno mengi?
Kuna mtu akiwa Mtama aliwahi kusema Mungu aliingilia kati...kwanini isiwe sasa Mungu huyo huyo aingilie kati?
 
 
Nenda kawaulize wazee wa kijijini kwake walishasema wanajua kila kitu hapa hautapata majibu unahangaika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…