PostGE2025 Jaji Warioba: Uchawa, Utekaji na Mauaji vinawajengea Watanzania Hofu kubwa ya kutoa Maoni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Tazama, mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba kiongozi anafariki watu wanasherehekea. Yaani tumefika hapo, ubinadamu umekwisha. Unaweza kuona kuna chuki na hasira katika... iko katika jamii. Nasema hii ni vyama vyote, siyo kimoja.

Sasa hivi tunazuia, tumekuja na uchawa. Kama chawa sawa, sema. Kama siyo unazuia. Na tumekuwa na kutekwa, mauaji... nimeona katika taarifa hii; katika kipindi cha miaka miwili wamepotea watu mia saba hamsini na kitu. Wengine wamepatikana, lakini mia mbili na arobaini na tano hawajapatikana... miaka miwili. Sasa uache ukubwa wa namba hiyo, lakini uone aina ya watu waliopotea. Wapo kundi dogo ambalo watu wanajua wamepotea kwa sababu ya mawazo yao sasa. Na ndio inafanya Watanzania wanakuwa na uoga. Wanakuwa na uoga... kwanza hili linakuja polepole."

Mzee warioba acha upotoshaji na uongo, unajidhalilisha babu 🐒
 
Back
Top Bottom