Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wengi tunaomba vigawanyike maana havina faida kwa wananchi wa kawaidaJaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika.
"Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
Siyo kweli.Tatizo kubwa la rais wetu ni kiburi na ujuaji, hataki kusikiliza raia.
Kwahiyo muhuni alialikwa ikulu? Kati yake na aliyemwalika nani muhuni we chawa?
Kweli Hata Wahuni wanazeeka
Na jeuri.Tatizo kubwa la rais wetu ni kiburi na ujuaji, hataki kusikiliza raia.
Usimjibu nyonya damu. Mu- ignore chap.Kwahiyo muhuni alialikwa ikulu? Kati yake na aliyemwalika nani muhuni we chawa?
ndio aache kusikiliza hao washauri wake atusikilize sisi wananchi anaotuongoza.Siyo kweli.
Kinachomponza ni kusikiliza baadhi ya washauri ambao wanampotosha na pengine hao ndiyo wengi, na wana nguvu zaidi ya ushawishi kwake.
Great thinker, nimejiuliza swali hili mara nyingi sana. Samia anaona hii ni kawaida? Mind boggling!Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika.
"Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
Nasikiw pia ana Uraia wa QuweitSamia yeye hajali kikinuka anaenda zake ujombani alikohifadhi utajiri aliochuma huku Tanganyika
π π π Oyaa umesoma kweli kilichoandikwa?Ukimuuliza kasikia kwa nani atasema kwa Mangekimambi
Naomba nikuambie kitu...JWTZ wako upande wa wananchi...ni Maafisa Generali na Wakuu wachache ndio wapo upande wa Rais HaramWengi tunaomba vigawanyike maana havina faida kwa wananchi wa kawaida
Huyu alikuwa wa kula chuma ya kichwa huyu.Samia yeye hajali kikinuka anaenda zake ujombani alikohifadhi utajiri aliochuma huku Tanganyika
sio kugawanyika tu, vigeukane kabsa, maana tulipo, hamna namnaWengi tunaomba vigawanyike maana havina faida kwa wananchi wa kawaida