Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Hiyo research umeifanya lini? Au kwa kuwa mjomba wako corporal kakujulisha kuwa Wanajeshi hawamtaki Samia?Naomba nikuambie kitu...JWTZ wako upande wa wananchi...ni Maafisa Generali na Wakuu wachache ndio wapo upande wa Rais Haram