Warioba ana pensheni ya Uwaziri Mkuu na anapata stahiki zote nyumba bure Oysterbay, magari anabadilishiwa kila miaka mitano, ana mpaka gardener wa serikali, apewe cheo ili iweje?Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Unataka wajinga wajinga kama akina Pinda?Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Mkuu acha na hawa UWT hawana akili, wao wanajua kusifia na kupiga mizingaWarioba ana pensheni ya Uwaziri Mkuu na anapata stahiki zote nyumba bure Oysterbay, magari anabadilishiwa kila miaka mitano, ana mpaka gardener wa serikali, apewe cheo ili iweje?
Sidhani kama uzee wake unahusiana na hicho alichokiongea. Je, alichosema ni ukweli, au mi uongo?Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Sidhani kama uzee wake unahusiana na hicho alichokiongea. Je, alichosema ni kweli, au ni uongo?Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Sidhani kama uzee wake unahusiana na kutaka cheo, au na hicho alichokiongea. Je, alichosema ni kweli, au ni uongo?Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Mzee mkweli sana huyu.Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala kusambaratishwa wakati wa Kuhesabu Kura
Ameongeza kuwa hali hiyo imeanza kuibua hoja na maswali kuhusu kuaminika kwa waliosimamia Chaguzi hizo mwaka 2019 na 2020 na kama wataendelea kusimamia tena Chaguzi zinazokuja
View attachment 3100469
huyu mzee zaidi ya miaka 80 hana cha kupoteza wacha aseme ukweli amalizie uzee vizuriHuyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR
Kwa hiyo tuseme uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapa. 🤔🤔. ( ukipewa cheo hutakiwi kutulia, unatakiwa kutumikia taifa).Huyu mzee apewe cheo akae kimya sasa maana bila shugli huwa hatulii kabisa
USSR