TzPride
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 2,616
- 1,169
Lissu anatumiwa na CCM kama ZZK,
Kama mnakumbuka ZZK alianza kutumiwa na Serikali ya CCM kipindi alipochaguliwa kwenye tume ya nishati ya madini, na amekuwa akitumiwa since then.
Hapa TL ametumiwa kwenye kamati ya kutunga kanuni za bunge la katiba, sasa kila mtu wa CCM anamsifia baada ya kutumiwa, TL anatumiwa na CCM, afukuzwe tu kama ZZK
Hahaha, haya CDM fukuzeni na huyu....hahahahaha!!!!!!
Humjui Lisssu hata kidogo. Huyo si mchumia tumbo, ni mwanaharakati kwa asaili yake na mpigania haki daima. Ameanza cheche hizi tangu akiwa shule ya msingi Mahambe.
Taratibu watu watamwelewa Lissu na kuupenda uzalendo wake. Ni kichwa kizuri sana na ana ujasiri bila ya kuwa na tamaa ya mali.
Mbunge wangu litumikie taifa letu kwa akili yako yote...mlipaji ni Mungu na wala si CDM wala CCM.