Jaji Werema mbona unatia mashaka na professionalism yako. Leo umejibu swali na Tundu Lissu (kuhusu mamlaka ya kuhamisha fedha bila mamlaka ya bunge) kama hakimu wa mahakama ya Mwanzo, and not as a judge. Acha U-CCM, unaiaibisha taaluma ya sheria na majaji. kama majaji wako hivi, basi tumekwisha. Nadhani wengi walikosa haki kwa kesi zilizopitia kwako. It is a pity!!!!!!!!!!!!!!!!!