Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment.
"Hospital wamejaa Incompetent Doctors and other medical practitioners kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ni mbovu."
Wenye pesa wanaharibu elimu pale wanaponunua mitihani kutoka baraza la mitihani, hasa shule za Private zenye Ada za juu.
Mtoto analipa 5M kwa mwaka na muda wa paper ukifika Mzazi anaambiwa atoe hela for exam cheating, wakifika chuo na one zao za 3 mpaka 5 wanashindwa vibaya hasa kozi za Science.
Siyo kwamba sisi wazazi wao tumebarikiwa watoto walio vema kwenye mbongo zao hadi mabeberu na majirani wenye husda wanatuonea gere?Wamefaulu kwa 99.8 asilimia.Majiniazi hawa Gen-Z!Yabarikiwe matumbo yaliyowazaa.🤔🫸🫷