Jakaya aliamini meza akaweza, Magufuli akaamini chuma akafeli. Samia anaamini jela?

Kwani wewe ni nani. Amini upendavyo lakini haiipinguzii wala kuiongezea chochote CDM.
Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu,ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu
 
Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu,ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu
Acha wao waponde. Wewe sifia usiku na mchana ili roho yako isuuzike. Hapo mtakuwa mmebalance.
 
Shukrani kwa uchambuzi makini kabisa. Kudos!

Hata kuwalenga wachagga ni imani yake kuwa ndiyo wafadhili wakubwa wa CHADEMA.

Matajiri wote ambao walikuwa na mwelekeo wa kusapoti upinzani waliumizwa. Lengo ni kuhakikisha upinzani unakufa.

Nakubaliana na wewe kuwa huu ni mpango mkakati ulioasisiwa na jiwe mwendazake na ambao bado unafuatwa na rais aliyeko madarakani kwa namna moja ama nyingine.
 
Kcmc wachaga wanakufa kwa kukosa umeme na maji
 
Mh. bowe Mungu akubariki na akupe maisha marefu, msimamo wako, hoja zako na umahiri wako katika uongozi Bungeni, nje ya Bunge na Chama chako umekufanya leo hii uwe gelezani ili walau watawala wapumue, infact hawatapumua ila wanajipalia makaa yenye moto mkali zaidi.
 
Kwamba Mbowe anayepambana na serikali na imemshindwa halafu utafutaji wake wa walinzi binafsi ni huu alioutumia kuwapata akina Lijenje na Ling'enya.😁.

Hivi kama wangeamua kumuunganisha na watu wa kitengo "wamlinde" angesanuka?

Nyie jamaa pumba sana!
 
Yote tisa kumi akafungia account zote za mwamba kwa miaka 3 jamaa kimyaa tu, kama haitoshi akatuma watu kwenda kukatakata bustani ya mbogamboga kule mto weruweru - aisee kama kweli mwenyezi Mungu hapa ulimwenguni na wote tunaamini hivyo basi ni lazima atatenda kitu - stay turned.

Mwendazake alikuwa na roho mbaya ya ajabu kabisa.
 
Unawaona muhuni kwa sababu na wewe ni muhuni.na akili yako imehamia chini ya mgongo(makalioni)
Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu,ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu
 
Hivi ni kwanini Magufuli V's Jakaya, na isiwe Nkapa vs Jakaya au Magufuli vs Mwinyi nakadhalika .

Mwanzo mwisho ni Magufuli vs Jakaya, Jakaya alimaliza muhula wake Magufuli hakumaliza muhala wake utawalinganishaje?,kama sio utaahira ?, pathetic!
Jk ndie nyakati za Chadema.... Mkapa hakuwa katika nyakati za Chadema hivyo kumhusisha na mapambano haya ni kumuonea.... Mkapa alipambana na NCCR na CUF.
 
Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu,ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu.
"Yamkini wakawa na jambo linalofaa" ina maana sera na dira ya CHADEMA huijui na wala hujawahi kutamani kuijua. Kazi ya chama chochote ni kutafuta na kuongea udhaifu wa chama tawala na kutoa muelekeo wanini hasa kifanyike dhidi ya yale madhaifu. Ukiwa na dhana ya kwamba kila jambo linapingwa tu bila kuangalia altenative ways wanazotoa wapinzani nachelea kusema kuwa siasa huzijui mkuu.
 
Imina na I we hivyo. Mungu ni muaminifu atamlipa kila mmoja kadiri ya matendo yake.
 
Ushaacha kuiba makala za The Bold?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…