Hata mimi. Watu wengine wanaanzisha thread za ajabu ajabu kama vile kaishia darasa la nne. Pls proof read message yako kabla hujai post.sijakuelewa !!
sijakuelewa !!
Hakuna muujiza utakaotokea, na tusitegemee mabadiliko kutoka kwa huyu rais.Hilo ni kweli nadhani raisi wetu si makini katika maamuzi yake hivyo tutegemea mambo ya ajabu na aibu kutoka kwake labda utokee muujiza katika Brains za mtu wetu?
Hii msg yako inamrengo flani wa ki anti-fisadi! inaonekana ulikuwa unataka kughani...Ebu tupe sifa za Chekibobu!2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK.
Lalashe, wewe unaweza kujitenga na wewe mwenyewe?! Kama ukiweza basi Kikwete naye ataweza kujitenga na ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Na habari ndiyo hiyoNa je Kikwete anaweza kujitenga na ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma?
nadhani baraza lake la mawaziri litakuwa na sura kama hii:
rais atafuta baadhi za wizara na zingine kuziunganisha na atakuwa na baraza dogo sana!!!!
waziri mkuu-
mambo ya nje na uhusiano wa ea-
fedha na uchumi-
sheria na katiba (mambo ya ndani kufutwa)-
ulinzi-
elimu-
kilimo, mifugo na uvuvi-
kazi na maendeleo ya jamii-
afya na mazingira-
ardhi, mawasiliano na miundo mbinu-
madini, mali asili na utalii
utamaduni,wanawake, na watoto
wizara kama habari na michezo azifute na kila wizara iwe ina msemaji wake huku michezo ikiwa chini ya waziri wa utamaduni. Mambo ya ndani ifutwe na kazi zake zifanywe na wizara ya katiba na sheria.
hakuna haja ya kuwa na mawaziri wadogo kazi zao zifanywe na makatibu wakuu na kwa hakika serikali itawajibika vilivyo na kupunguza gharama zake!!!
ombi langu kwa rais ni kuwa awajumuishe wapinzani ktk serikali yake ili kujenga umoja wa kitaifa na kwa kuanzia ampe lipumba wizara ya fedha na uchumi huku dr. Slaa apewe wizara ya sheria na katiba!!!
Usijali mimi ni mwalimu wa upe nilimaliza darasa la kumi la zamani. Nitakusaidia when in need.KAA LA MOTO-Ni kweli sijaenda shule hata la nne sijafuzu. Nafasi ya kwenda shule nimekosa kutokana na ukweli kwamba utawala uliopo ulininyima nafasi ya kwenda shule na kuwa na elimu kama wewe. Lakini usijali najitahidi kujisomesha madarasa ya watu wazima ili siku moja nami niwe kama wewe usiyefanya makosa. Ninachoomba kwako ni msaada ili nijikomboe kutokana na hali ambayo hata mimi ninaichukui na inanikasirisha sana.