Elections 2010 Jakaya anaelekea kudesa sera za slaa bara dogo la mawaziri

Elections 2010 Jakaya anaelekea kudesa sera za slaa bara dogo la mawaziri

Hata mimi. Watu wengine wanaanzisha thread za ajabu ajabu kama vile kaishia darasa la nne. Pls proof read message yako kabla hujai post.
jamani msipende kuwa wakali, hatuko sawa kwenye kujieleza sasa kama wewe ni msomi wa PhD, Masters au Pro.
basi tumie elimu yako kubwa kumuelewa mdhaifu wa kujieleza kulingana na kuishia dalasa la nne, mbona mwataka kutafuniwa sana?
 
Don't ever think of it, Dr. Slaa awe chini ya huyo mkwere!!!!!! Kamwe hawezi kukubaliana na hilo

umtakii mema mkwere! Unataka waziri wa katiba na sheria tajwa apo juu amburuze mahakamani bosi wake nn? Uyo anaesign ovo ovo miswada si atasign ata wa kunyongwa yeye!
 
TANZANIA KWANZA umeongea kama proffesor mwenye akili, swali langu ni JE atakuelewa MKWERE? Anapenda sifa lakini mwoga. Unachosema ndicho anachotakiwa kufanya kama ulivyomwonesha lakini amekula vya watu anawalipaje? Lazima awape nafasi za uwaziri ili warudishe fedha zao walizotumia kumweka madarakani. Baada ya kutangazwa baraza la mawaziri nishtue uniambie kilichotokea KAMA SI BARAZA LINALOWANYONGONYEZA WATZ.
 
Ahsante sana kaa la moto kwa msaada ambao umejitolea kunipa kama mwalimu wa upe. Naomba uwe unanifuatilia sana katika thread zangu na unisaidie kunipa ushauri wa kiualimu nami niutumie vizuri na kupunguza makosa katika thread zangu. Nashukuru sana kwa moyo wako wa kizalendo wewe ni mtanzania wa kweli.
 
tanzania kwanza umeongea kama proffesor mwenye akili, swali langu ni je atakuelewa mkwere? Anapenda sifa lakini mwoga. Unachosema ndicho anachotakiwa kufanya kama ulivyomwonesha lakini amekula vya watu anawalipaje? Lazima awape nafasi za uwaziri ili warudishe fedha zao walizotumia kumweka madarakani. Baada ya kutangazwa baraza la mawaziri nishtue uniambie kilichotokea kama si baraza linalowanyongonyeza watz.

baada ya kupokea ilani ya cuf na kuahidi kuzifanyia kazi yale mazuri, basi huenda jk akaunda serikali ndogo ngoja tuone!!!
 
nadhani baraza lake la mawaziri litakuwa na sura kama hii:
rais atafuta baadhi za wizara na zingine kuziunganisha na atakuwa na baraza dogo sana!!!!

1) waziri mkuu-
2) mambo ya nje na uhusiano wa EA-
3) fedha na uchumi-
4( sheria na katiba (mambo ya ndani kufutwa)-
5) ulinzi-
6) elimu-
7) kilimo, mifugo na uvuvi-
8) kazi na maendeleo ya jamii-
9) afya na mazingira-
10) ardhi, mawasiliano na miundo mbinu-
11) madini, mali asili na utalii
12) utamaduni,wanawake, na watoto


Wizara kama habari na michezo azifute na kila wizara iwe ina msemaji wake huku michezo ikisimamiwa na vilabu vyao.
Mambo ya ndani ifutwe na kazi zake zifanywe na wizara ya katiba na sheria.

Hakuna haja ya kuwa na mawaziri wadogo kazi zao zifanywe na makatibu wakuu na kwa hakika serikali itawajibika vilivyo na kupunguza gharama!!!

ombi langu kwa rais ni kuwa awajumuishe wapinzani ktk serikali yake ili kujenga umoja wa kitaifa na kwa kuanzia ampe Lipumba wizara ya fedha na uchumi huku dr. Slaa apewe wizara ya sheria na katiba!!!

Mkuu yaani unataka akabidhi moyo wa CCM kwa wapinzani?, Maana wizara ya fedha akimpa mpinzani 2015 hela ya mabango ya uchaguzi haipo, Katiba ni pamoja na kuishughulikia tume ya uchaguzi. Hilo haliwezekani kabisa na mafisadi watamjia juu sana. Ila kama anataka kuonesha kuwa amedhamiria hasa kubadili mwelekeo wa nchi ni jambo zuri akawapatia hawa jamaa wizara hizo, kwani hata Obama kamkabidhi wizara nyeti ya ulinzi Republican
 
Back
Top Bottom