Elections 2010 Jakaya anaelekea kudesa sera za slaa bara dogo la mawaziri

Hata mimi. Watu wengine wanaanzisha thread za ajabu ajabu kama vile kaishia darasa la nne. Pls proof read message yako kabla hujai post.
jamani msipende kuwa wakali, hatuko sawa kwenye kujieleza sasa kama wewe ni msomi wa PhD, Masters au Pro.
basi tumie elimu yako kubwa kumuelewa mdhaifu wa kujieleza kulingana na kuishia dalasa la nne, mbona mwataka kutafuniwa sana?
 
Don't ever think of it, Dr. Slaa awe chini ya huyo mkwere!!!!!! Kamwe hawezi kukubaliana na hilo

umtakii mema mkwere! Unataka waziri wa katiba na sheria tajwa apo juu amburuze mahakamani bosi wake nn? Uyo anaesign ovo ovo miswada si atasign ata wa kunyongwa yeye!
 
TANZANIA KWANZA umeongea kama proffesor mwenye akili, swali langu ni JE atakuelewa MKWERE? Anapenda sifa lakini mwoga. Unachosema ndicho anachotakiwa kufanya kama ulivyomwonesha lakini amekula vya watu anawalipaje? Lazima awape nafasi za uwaziri ili warudishe fedha zao walizotumia kumweka madarakani. Baada ya kutangazwa baraza la mawaziri nishtue uniambie kilichotokea KAMA SI BARAZA LINALOWANYONGONYEZA WATZ.
 
Ahsante sana kaa la moto kwa msaada ambao umejitolea kunipa kama mwalimu wa upe. Naomba uwe unanifuatilia sana katika thread zangu na unisaidie kunipa ushauri wa kiualimu nami niutumie vizuri na kupunguza makosa katika thread zangu. Nashukuru sana kwa moyo wako wa kizalendo wewe ni mtanzania wa kweli.
 

baada ya kupokea ilani ya cuf na kuahidi kuzifanyia kazi yale mazuri, basi huenda jk akaunda serikali ndogo ngoja tuone!!!
 

Mkuu yaani unataka akabidhi moyo wa CCM kwa wapinzani?, Maana wizara ya fedha akimpa mpinzani 2015 hela ya mabango ya uchaguzi haipo, Katiba ni pamoja na kuishughulikia tume ya uchaguzi. Hilo haliwezekani kabisa na mafisadi watamjia juu sana. Ila kama anataka kuonesha kuwa amedhamiria hasa kubadili mwelekeo wa nchi ni jambo zuri akawapatia hawa jamaa wizara hizo, kwani hata Obama kamkabidhi wizara nyeti ya ulinzi Republican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…