vitisho vya namna hii havina msingi na vinaweza kutafsiriwa vibaya. Hatuko hapa kumtishia Rais wa nchi kuwa "cha moto" atakiona wakati kichwa cha habari kinasema "kazi imemshinda".
Mimi simtishi ila nnaueleza kwamba asipobalisha muenlekeo ADHABU YA MUNGU ataiona..NiMungu yule anaowatetea Wanyango ndio anamuwajibisha ipasavyo.
Kamanda jaribu kutembelea bongo mara kwa mara, kama hiyo inashindikana basi jaribu kujikumbusha namna ya kuandika kiswahili vizuri katika forums mbalimbali katika mtandao,blogs n.kMh Rais aiahidi kazi Milioni je zikowapi?
Ameshindwa kuwawajibisha Lowassa,Chenge,Karamagi na waiofanya uozo wotee.
Hatoi maelezo yoyote kuhusu hali mbaya ya uchumi..
Kila siku yupo safarini haonekani kujali kabisa matizo ya wananchi....
Mh Rais unataka KUPENDWA na watu unaowagandamiza na kuona wanazulumiwa kila siku...USIPO BADILIKA cha MOTO UTAKIONA
Inawezekana...Na hasa katika kipindi hiki JK yupo katika kila mdomo wa mwananchi ni kazi kweli kweli... Unaweza kupata jazba na mbaya zaidi kupandisha mori.Kibunango, labda jazba imemzidia..
Mkuu Kibunango
Nafikiri mstahiki amekosea ktk neno la mwisho. Lisemalo "cha mto utakiona".
Hilo neno ni kubwa mno na lina maana nyingi sana siyo vizuri kulitumia hata siku moja maneno yanayolenga katika vitisho.
Mstahiki anatakiwa tu aeleze hicho cha moto kina maana gani na abadilishe na kuweka neno sahihi.
Mh Rais aiahidi kazi Milioni je zikowapi?
Ameshindwa kuwawajibisha Lowassa,Chenge,Karamagi na waiofanya uozo wotee.
Hatoi maelezo yoyote kuhusu hali mbaya ya uchumi..
Kila siku yupo safarini haonekani kujali kabisa matizo ya wananchi....
Mh Rais unataka KUPENDWA na watu unaowagandamiza na kuona wanazulumiwa kila siku...USIPO BADILIKA cha MOTO UTAKIONA
Kamanda jaribu kutembelea bongo mara kwa mara, kama hiyo inashindikana basi jaribu kujikumbusha namna ya kuandika kiswahili vizuri katika forums mbalimbali katika mtandao,blogs n.k
Hapa JF kuna kona ya lugha ya kiswahili, si vibaya ukawa unapita pita huko ili kupiga brashi kiswahili chako..
Huu ni ushauri tu ..Kamanda
Mhh!!.... Kuku mgeni Bandani utamjua tu!!Mkuu Kibunango
Nafikiri mstahiki amekosea ktk neno la mwisho. Lisemalo "cha mto utakiona".
Hilo neno ni kubwa mno na lina maana nyingi sana siyo vizuri kulitumia hata siku moja maneno yanayolenga katika vitisho.
Mstahiki anatakiwa tu aeleze hicho cha moto kina maana gani na abadilishe na kuweka neno sahihi.
Mimi simtishi ila nnaueleza kwamba asipobalisha muenlekeo ADHABU YA MUNGU ataiona..NiMungu yule anaowatetea Wanyango ndio anamuwajibisha ipasavyo.
Mh Rais aiahidi kazi Milioni je zikowapi?
Ameshindwa kuwawajibisha Lowassa,Chenge,Karamagi na waiofanya uozo wotee.
Hatoi maelezo yoyote kuhusu hali mbaya ya uchumi..
Kila siku yupo safarini haonekani kujali kabisa matizo ya wananchi....
Mh Rais unataka KUPENDWA na watu unaowagandamiza na kuona wanazulumiwa kila siku...USIPO BADILIKA cha MOTO UTAKIONA
Kamanda Mutu;Kasomeka vizuri tu ,ilaanatakiwa awe makini na maandishi nadhani ilikuwa ni typo tu.Hata hiyo hapa watu wana chapia sana kingereza lakini wana eleweka na hawaambiwi chochote.Wewe umeacha kuchangia alichosema umesahiha kiswahili wakati hiyo ungeweka kama NB.
Mimi simtishi ila nnaueleza kwamba asipobalisha muenlekeo ADHABU YA MUNGU ataiona..NiMungu yule anaowatetea Wanyango ndio anamuwajibisha ipasavyo.
Kamanda Mutu;
Awali ya yote nilifikiri kuwa ni jazba lakini hebu soma tena hapa chini, kama alikosea hapo awali iweje tena akosee katika bandiko lake la pili. Msimamo wangu unabaki pale pale kuwa anahitaji kukisafisha kiswahili chake..
Na huu ni ushauri tu, kwa faida yake binafsi na kwa wasomaji wa hapa JF kutopata shida ya kusoma mara mbilimbili ili kuelewa/kufahamu anazungumzia nini...