Jakaya Kiketwe Kazi imemshinda!

Jakaya Kiketwe Kazi imemshinda!

ajira milioni moja ? pale dodoma wakati wa mkutano mkuu waliweka mabango mengi yenye ujumbe kuwa maisha bora yatapatikana kwa kufanya kazi na kujituma na wala siyo kukaa vijiweni...bila ccm madhubuti ccm nchi itayumba, etc, mwaka 2010 siyo mbali, watapanda watu kwenye majukwaa kutoa ushuhuda kuwa saccos zimewaokoa, manasiasa ni watu wa ajabu..., pia kikwete aliahidi kujenga barabara mbalimbali kwa lami, nimetembelea mbeya, anajenga kilometa moja kwa lami kuanzia mjini eg makongorosi-chunya. moshi-uru, etc, ikifika wakati huu atasema jamani nimeanza si mmeona km imeisha? si mnajua ule msemo of kichina, ehee a journey of 1000miles starts with single tread!!!! wakati huo plau, vitenge, kofia, fulani, ccm nambariiiii waniiiiii eheee, komba fanya mambo!!!!!!!!!! hatimaye jaji makame kwa niaba ya tume ya uchaguzi namtangaza kikwete kashinda kwa asilimia 91%%% tusereeebuke ehe eheeeeee, KAMA VILE NAOTA AU......
 
poleni kwa kuchelewa kujua kuwa jamaa kazi imemshinda.
mi nililitambua hilo mapemaa tangu siku ile aliyodondoka katika kampeni jangwani.

kuhusu hizo ajira milioni moja alizoahidi mi naona huo mtihani mnaompa ni mkubwa sana, hebu atoe ajira 500 tu apeleke kwao chalinze ambako kuna vijana wanakimbilia mabasi huku wakiuza machanuo na bidhaa mbalimbali
 
Back
Top Bottom