Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Inafikirisha sana...Aisee aisee.Duuu.Yaliyokuwa gizani sasa hadharani.
Ndiyo maana walipomkatalia Sitta asigombee Uspika alikasirika sana. Nakumbuka alisema kwa hasira "kama walikuwa hawataki niwe spika si wangeniambia?"Mnaukumbuka ule wimbo " Watanzania *2 CCM yawindwa!...waenzi zileee wenzang?.
Uamuzi huo tayari walikuwa wameshachelewa sana tuliosoma enzi hizo katika Chuo fulani (......)tunaikumbuka ile Program u iliyoitwa PUBLIC INTERGRITY RESTORATION INITIATIVE (PIRI)Ndiyo maana walipomkatalia Sitta asigombee Uspika alikasirika sana. Nakumbuka alisema kwa hasira "kama walikuwa hawataki niwe spika si wangeniambia?"
Si umtaje rafiki yako Makonda... Hizi ndiyo "codes " mnapenda kuzitumia kama alivyosema Polepole.Nakumbuka msibani kwa mzee 6 kuna Vijana Walisema aliwasomesha
It was like delayed reality...Nakumbuka msibani kwa mzee 6 kuna Vijana Walisema aliwasomesha
Kwa ufupi,wana tabia za kichawi.Iko hivi anaeukutuma uende ukaangamize sehemu Huwa yeye yupo tayari asijulikane kwenye Hilo angamizi ila yupo tayari kuangamiza Sasa anachokifanya ni kutuma/kutafuta mtu baada ya kukamilisha jambo sababu yule aliemtuma hayupo tayari kufahamika basi hulazimika kumaliza yule aliemtuma Ili kulinda Siri.
Hvyo ukiona unatumwa uende ufanikishe au usifanikishe ujue na wewe soon utaenda kwalazima Ili Siri iwe Siri.
Swali inawezekanaje uende kariakoo saa sita mchana ukutane na watu wawili tuu kariakoo nzima na Mitaa yote Ile je hao watu wengine wanakuwa wameenda wapi?
Yeye kasema ilikuwa ni "Coordination"...Cartel ...sio mtandao tena ni Lad pepes cartel
Maana ni ileile ya networkYeye kasema ilikuwa ni "Coordination"...